Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nikweli mkuu
 
Kama unajifunza kuishi kutapeliwa hakuko mbali ni mtaa wa jirani tu hapo. Asiyejua ya kuwa mwanamke akishirikishwa kwenye jambo lolote liwe rahisi au gumu hufanikisha ni kiumbe anayeamimika akishajipanga vizuri kutenda. Ndiyo maana hata wapelelezi huwatumia sana kufanikisha kazi zao
 
Kwanini umeamua kuniliza wivu hili lakini aggie??
 
Samahanini wakubwa kama tuwaudhi,

Niko busy Badoo kutafuta michepuko kwa wiki sasa. Lengo langu ni kupata mmama mwenye dark skin lakini leo hii nimeamua kujiondoa baada ya kukosa kabisa mwenye rangi hiyo. Je hivi ni kweli huko badoo kuna wadada weupe tu wasio hata na chunusi hata moja usoni au nimimekapu tu ndiyo inanichanganya?
 
fanyeni kazi jamani hii nayo ni habari?
 
hahahahaha! ati! fanyeni kazi hahahaaha sasa si ungemuendea pm kuja kwako hapa kumedhihilisha kwamba hata wewe hufanyi kazi huhuhuhu!!!!!
 
Hao ni indigenous species na ukiwaona uwapeleke makumbusho ya taifa watakako pata ulinzi na uangalizi.
Inamaana hata wewe pia imeshindwa kujitokeza kuwakomboa wanawake wenzako? Au wewe ni white in nature?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…