Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Akhsante, pamoja na hayo Badoo bado kuna raha zake
8fa62d03db71a96444541ab6152c7705.jpg
Upo vizur
 
Juzi kati nilimjaribu dada mmoja tukaelewana vizuri hadi nikaelekezwa getoni lkn kabla sijaanza safari nikaombwa elfu 50 nilipomwambia hadi nifike tuonane,mkuu nilishushiwa matusi kama kontena 26 zile za bandarini hadi nikachukia yani sina hamu na wanawake wa badoo hawana heshima hata kidogo.
 
Back
Top Bottom