Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Juzi kati nilimjaribu dada mmoja tukaelewana vizuri hadi nikaelekezwa getoni lkn kabla sijaanza safari nikaombwa elfu 50 nilipomwambia hadi nifike tuonane,mkuu nilishushiwa matusi kama kontena 26 zile za bandarini hadi nikachukia yani sina hamu na wanawake wa badoo hawana heshima hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…