Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nipo abroad pia
 
Shida unaweza kukuta sie yeye mwenyewe ila kuna mtu ndiyo anatumia picha zake
 
Tatizo ulikuwa unachat na mwanaume mwenzio ukihisi ni demu so lazima akuchafue ili usiende
 
Na wanaume hivyo hivyo kule wanaume wengi kabla ya salamu anauliza unafanya kazi gani,then unaishi na nani? Ukijibu peke yangu anataka aje!! Ss mimi nakukaribishaje kwangu wakati sikujui? Na ukijibu huna kazi anajikataa!![emoji23][emoji23][emoji23]siku watafumuliwa marinda!!
 
Njia ya kuwatandika hao bika kutuma pesa we hakikisha unawataka kam watatu hivi na uwaulize upo wap,,akisema yupo kinondon au sinza bas mwambie poa,,we washa zako gar mpka sinza kaa kwenye bar halaf mwambie mbona mi nipo hapa bar fulan natafuna zangu nyama na bia karibu...

Kama alikuadnaganya atakuambia nilitoka kidgo,kama yupo hapo lazma aje maana ukiwa mbali hawachelew kukuambia nitumie nauli 10000,,,we akisema yupo gabata nenda tabata kaa bar mwambie nam nipo tabata...

Halaf usiwe mjinga kupatana nae jumla we mwambie kila bao nakupa elfu kumi na fano kwa hyo ni juhud zako za kiuno ukipepete nikojoe haraka,,hawachomoi

Tena kama wa kinondon nenda pale Nin hotel chukua chumba kikali ,30 tu unakaa ghorofan tumbo waz na bukta unapiga baltika unamwambia tu nipo hotel mpka wiki ijayo njoo haraka utaona atakavyochukua boda aje fasta
 
Mule muleeeeee!!!!! Ajajajaaaaah
 
Shida unaweza kukuta sie yeye mwenyewe ila kuna mtu ndiyo anatumia picha zake
Wapo Wengi sana wanajikusanyia pics za wanawake huko fb na IG kisha wanafungua accounts kwenye mitandao na kujidai ndio muhusika. Ishatokea kwa mmoja alikuwa anatumia picha za manzi nnayemfahamu sana..nikawa namchoraa weee mwisho nikawa nambana kwa maswali yakimkakati nilimfungukia mbaya akaishia kuniblock
 
Superb experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…