Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Halafu jinsi ya kulipia badoo unafanyaje mbona nikiingiza namba za kadi inagoma?
 
Kama kamari tu mdau anajua anaweza kubahatisha, na wenyewe ni wajanja hawaombi hela kubwa ya nauli, buku 5 mpaka 10, wakijichanganya kama watu kumi kwa siku basi ana mshiko wake kiasi
Daaah,vijana wenzangu mna roho ngumu
 
Hayo magroup ndo yenyewe mzee, tuma link
Huko mwenyewe skuingia bure nliliwa pesa

Nishida halafu ni tigo tuu inauzwa hawa madem watatuua

976c5cce614a6fb7decfc26e76c69155.jpg


Link sina admin ndio anaweza kutuma
 
Back
Top Bottom