Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

huyu jamaa ye mwenyew anatumia hio badoo kwahyo mmekutanaa babuu usitujaze upepo bule c
 
Badoo nimesha piga sana mzigo kuanzia kwa majimama mpaka kwa vibinti, nishatapeliwa sana pia kuanzia hela ya nauli mpaka ya kusuka, nafurahi kukutana na "Wanabadoo" wenzangu katika kubadilishana ujuzi.
Niliombwa 6000 ya nauli nilingoja masaa mengi ikawa kimya nilipopiga cm haipatikani nahisi msichana wa watu alipata ajali ya boda boda dah nilimponza mtoto wa mwanamme mwenzangu sirudii tena I feel guilty
 
Hii App niliitoa baada ya kuweka verification ya picha . Kuna watu matapeli sana huko
 
Kuna aina 2 . Yakwanza unachat nae then mnaelewana mnapanga kukutana hao ni wakweli lkn aina ya pili ni matapeli . Mnachat then mnaelewana inapofika ktk point ya kuonana ataomba pesa aidha ya nauli au vinginevo basi hapohapo mblock ni Mwizi huyo.
 
Tumia ujanja mkuu huna haja ya kutoa pesa.. akikulike wewe mark rangi za picha kisha nenda kule kwenye walipo pitia picha kadhaa zenye rangi na ukiona zinazoendana wewe like ikimatch utapata msg hapo utaweza mtambua kwa picha yake na pia unamtumia msg ya kuomba date and then msikilizie kama wa mizinga mapema mpotezee huyo ni agent wa TRA
Wewe fundi kama mimi ndo utundu nnao tumia humo
 
Back
Top Bottom