The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Nipe user name yake ..nikuletee feedback anachokifanya kule ni nini kama hutojari! mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naandika nikiwa kwenye lindi la maswali ,mimi sina akaunti lakini kuna jamaa huwa analog in ananionyesha malaya nnaowaheshimu anawazingua inbox tunacheka tu katika kuperuz hamad !!!!picha ya mupenzi hii hapa ,uzuri akaipita nkavizia lunch nikaitafuta ana jina feki mle nkaogopa kuchat nae jamaa ni messi atapiga bure,hivi hii ni nini?
Utafiti gani. Huijui badoo wwDon't be quick to judge and usifanye maamuzi ya haraka, fanya utafiti mwenyewe. Either jaribu kucheki simu ya mpenzi wako(kama ikiwezekana) au mtongoze kupitia huko badoo na mpange kuonana kisha jibanze sehemu na kucheki kama ni yeye atakaetokea au la. Ila jiandae kwa lolote you might see.
Hii ni kwasababu watu wengi mtandaoni wanatumia picha si zao, kwahiyo kama mpenzi wako ni mzuri au ana shape, mtu anaweza kuiba picha yake sehemu yoyote ile na kuipachika as profile picture, ili kuvutia watu.
Wewe umewahi kumpata huko au unamjua aliyewahi kupata mchumba huko ?Kutafuta mchumba
Mkuu najua ni vya uhuni ila si unajua hata ambiance ukiulizza ni pa nn ntakujibu vinywaji mziki na vykulaWewe umewahi kumpata huko au unamjua aliyewahi kupata mchumba huko ?
Ha ha haaa,, ww km mm aseeNilivyosoma heading nikadhan umemkuta mpenzi wako bado bikra kumbee daaah!
Haya wanakuja
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu naandika nikiwa kwenye lindi la maswali ,mimi sina akaunti lakini kuna jamaa huwa analog in ananionyesha malaya nnaowaheshimu anawazingua inbox tunacheka tu katika kuperuz hamad !!!!picha ya mupenzi hii hapa ,uzuri akaipita nkavizia lunch nikaitafuta ana jina feki mle nkaogopa kuchat nae jamaa ni messi atapiga bure,hivi hii ni nini?
Hivi BADOO inahusu nini ?
Unalipia hiyo app ?Aisee hivi sasa nipo badoo naperuz peruz hemu mkuu nipe ka username kake nimsalimie shemej
Wanatoza pesa nikitaka kuitumia hio app ?Inahusika na kurahisisha wa ugongaji kwa madomo zege
Wanatoza pesa nikitaka kuitumia hio app ?
Wakuu naandika nikiwa kwenye lindi la maswali ,mimi sina akaunti lakini kuna jamaa huwa analog in ananionyesha malaya nnaowaheshimu anawazingua inbox tunacheka tu katika kuperuz hamad !!!!picha ya mupenzi hii hapa ,uzuri akaipita nkavizia lunch nikaitafuta ana jina feki mle nkaogopa kuchat nae jamaa ni messi atapiga bure,hivi hii ni nini?
MkuuHapo ni mb na muda wako tu pesa utakuja kutozwa na watoto wazuri kwenye kutuma nauli namwisho wasiku hatokei ijapo kua wamo wakweli wanao leta mbunye mpaka mikoani