Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu we unaishi wapi kwani? ndo unajua leo wenzio tumeanza kuyaona haya mambo mwaka 2013
 
Nilipataga free p, mtoto alikua ana mabanda ya uani si mchezo... Nlipiga kama miezi mi3 hivi, akawa kaganda, kubanduka hataki kazi nlikua nayo...
 
Niliwahi kukiunga huko kama sikosei mwaka Jana ndani ya muda mfupi kidume nikajikuta nimetongozwa Mara nyingi ila kwa upendo wa ndoa yangu faster nili delete ile app
 
Ngoja nikajiunge ili nithibitishe haya uyaongeayo!
Mkuu acha kabisa wanaujasiri wa ajabu nimetumiwa picha ananiuliza unatumia hii kitu..! Nikamuuliza mademu wameisha? Akamind kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…