Tena hao wamama wapo wengi sana..Wengi wao walio walaisi kuwapata na ambao wako real ni wamama watu wazima vibinti Mara nyingi ni vipigaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikitaka kujiunga wananiomba picha yangu naweka picha wanakataa wananiambia aipo clearBadoo sio pa kuingia kishamba, utaombwa hela na kila demu, tena buku tatu tu iwe rahisi kuitoa. Akichangisha vidume 50 atakuwa na kima cha chini kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
At least awe na sura nzuri basi,unataka rich nigga akati sura mbovushe is looking for a rich n**gaView attachment 1003378
mmama mia
[emoji23]
Nishawahi kupiga nae stori nikafuta, sahv sijaongea nae sana
Hapo inawezekana hata simu ulimwambia azime. Ili jamaa mwenye appointment yake asije akawa anasumbua kuwa kafika wapi.Salaam wakuu,
Eeh bwana juzi nilikuwa na safari ambayo ilinitaka nitoke mkoani then nije DSM ndio nisafiri, sasa nikafikia lodge moja maeneo ya airport. Mida ya kama alasiri hivi nikiwa nimejipumzisha nikasikia mlango unagongwa ile kufungua nikakutana na demu akataka kuingia wakati simjui... Alivyoona namshangaa akauliza we si "xxxxx "!? Haraka haraka nikajua huyu hajui amekuja kukutana na nani nikamjibu YES! Akaingia nikajilia mzigo wala hata hana maswali ya kutaka kujua kama aliyekutana naye ni yeye au laah! Moja kwa moja nikajua huyu atakuwa alipanga apointment na jamaa yake through BADOO tuu... mitandao ya kijamii kwakweli ni shiiiiiiida.
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mrejesho muhimu Sanaa hata pmTayar nimeshadownlod jamani nikajionee matundaaaView attachment 1004176
Sent using Jamii Forums mobile app