Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

she is looking for a rich n**ga
Capture33.PNG
 
Salaam wakuu,
Eeh bwana juzi nilikuwa na safari ambayo ilinitaka nitoke mkoani then nije DSM ndio nisafiri, sasa nikafikia lodge moja maeneo ya airport. Mida ya kama alasiri hivi nikiwa nimejipumzisha nikasikia mlango unagongwa ile kufungua nikakutana na demu akataka kuingia wakati simjui... Alivyoona namshangaa akauliza we si "xxxxx "!? Haraka haraka nikajua huyu hajui amekuja kukutana na nani nikamjibu YES! Akaingia nikajilia mzigo wala hata hana maswali ya kutaka kujua kama aliyekutana naye ni yeye au laah! Moja kwa moja nikajua huyu atakuwa alipanga apointment na jamaa yake through BADOO tuu... mitandao ya kijamii kwakweli ni shiiiiiiida.
Hapo inawezekana hata simu ulimwambia azime. Ili jamaa mwenye appointment yake asije akawa anasumbua kuwa kafika wapi.
Ila hongera kwa kuchangamkia fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom