Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

d90c8b854ce73932136a68e842b4c13f.jpg
acbb304cc98c1f9cc9736d54f68b4c0d.jpg
Duh! Safi sana.
 
kuna hilo linaitwa Clara Rwega linakaa Kibamba...picha linaanza kwanza linakwambia ulitumie nauli ya Bajaj ili lije likupe mwili wake ulifanye unavyotaka...
sasa ole wako ujishaue kutuma
Hayo madude Badoo ndiyo ofisi yao na wanapiga noti kweli kweli, ndiyo maana nimeleta uzi huu kuwakomboa vijana wetu ambao maujanja hawajajua.
 
Teh teh, 50K per goli. Hilo goli itabidi ulinywee mkuyati ili lichukue 1hr, at least litakuwa na 'value for money', otherwise ni hasara kama unapiga cha dk5.
Bei hyo Bado hujaomba discount Blaza
 
Haaaaaa.... Weka mshahara hapooo [emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Sijawah tumia hiyo Badoo.Sjui nami nijarib mana nadhan kuna mambo mazur ati
 
Back
Top Bottom