Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Screenshot_2017-03-31-19-05-35.png
IMG-20170331-WA0025.jpg
Screenshot_2017-03-30-18-35-10.png
Screenshot_2017-03-30-18-35-05.png
 
d54dd4058ea69a6e7daace1a120f2f4c.jpg
8692698203326061ad279d2068f3257f.jpg
7f469265aa92a202434e8fe0a74fc08e.jpg


Huyu ni tapeli Mkubwa katika mitandao Ya kijamii hasa hasa badoo nadhani tushauriane kumkamata huyu mtu.maana ni Shida kashawatapeli watu wengi sana.nikiwemo Mimi nilimutumia elfu 10 .kwa Mashati aje tuonane Lkn mwisho wa Siku Ukawa ni maumivu .nimekusudia kuchafua Ktk mitandao yoote ikiwemo .nataka kuprint Picha zake kwa wingi halafu nizisambaze Posta yoote Na. Viunga yake has a Zanzibar Maana amekalia ni mkazi wa huko visiwani.bila uisahau kariakoo.na MAGOMENI.km bujeti Yangu itatosha nafika mpk Arusha Na. Pia kutangaza ktk gazeti la udaku japo moja natummpia tangazo huko.
Yaani elfu Kumi tu ndio walia lia hivyo?
 
Yaani elfu Kumi tu ndio walia lia hivyo?

Hahahhaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Dah Jamaa kachafukwa ile mbaya[emoji13]

Sasa anatumia zaid ya buku 10 kumchafua kisa kaliwa buku 10!

Tatizo linakuja kwamba kama demu ni tapeli huenda hata hio picha sio ya huyo demu so she has nothing to loose, jamaa atajikuta anafanya kazi ya kumnyatia kiziwi[emoji3][emoji855][emoji23]
 
Mkuu lengo si ilikuwa ni kuonana nae tu! Je kama akija sahv muonane hutamchafua?

Swali zuri sana... mbona picha zake zinavutia tu bila hata ya yeye!!! Ila naamini anaweza kuwa wakiume huyo sio kwa picha na uzuri huo awe huko badiu
 
Back
Top Bottom