Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
Hahahahahh[emoji23][emoji23]Tuongelea badoo analeta mengine, aache ufala {in Halima mdee's voice}
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahh[emoji23][emoji23]Tuongelea badoo analeta mengine, aache ufala {in Halima mdee's voice}
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I don't fear anything in this world... And I get anything I want....I warn you
Just go onI don't fear anything in this world... And I get anything I want....
Kesi ya kuku kauza ng'ombe. Jamaa atakuwa mpare huyu[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani elfu Kumi tu ndio walia lia hivyo?
Mkuu vita vya mtandao nishapigana Sana tokea 2001 wataalam Wa mitandao walikuwa chenga Sana security za mitandao zilikuwa down Sana niliweza hadi kuzima au kukuwekea virus kwenye computer ya mtu yeyote haswa watu kama nyie nilikuwa nawakomesha Sana... Command kukutumia kudelete files zako ilikuwa kuomba uwepo wako online tu... Ila nimeacha ulikuwa utoto but Sijawahi ogopa maandishi... Huwa nafanya nachotaka... Nilishachat Sana kwenye social media enzi hizo people like you mlikuwa kibao yaani madomo zege waliona msichana anasemeshwa anaweka kinga and then Hana la kumuongelesha Mtoto Wa kike nikuambie Mtoto Wa kike anataka kusemeshwa unadhania kwenye dressing table wanakaa Sana kwa ajili ya nini? Kukaa na ububu?Just go on
Na wengine ukiwa na namba yao ukiwapigia hawapokei..baadae anakutumia sms anakuambia baby ujue line naitumia kama chip kwenye laptop..muongo huyo ni janaume tuWapo Wengi sana wanajikusanyia pics za wanawake huko fb na IG kisha wanafungua accounts kwenye mitandao na kujidai ndio muhusika. Ishatokea kwa mmoja alikuwa anatumia picha za manzi nnayemfahamu sana..nikawa namchoraa weee mwisho nikawa nambana kwa maswali yakimkakati nilimfungukia mbaya akaishia kuniblock
Eeeh bwana mama rose... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji75]na huyu mama mtu mzma ambaye anamjuua vizurView attachment 430364View attachment 430365View attachment 430367
Unamfahamu sanaaaEeeh bwana mama rose... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji75]
Hahahaha Wapare wa Kitambo mkuu siku hizi ngastukaKesi ya kuku kauza ng'ombe. Jamaa atakuwa mpare huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah
Unaongea sana au unaimba taarabu mkuuMkuu vita vya mtandao nishapigana Sana tokea 2001 wataalam Wa mitandao walikuwa chenga Sana security za mitandao zilikuwa down Sana niliweza hadi kuzima au kukuwekea virus kwenye computer ya mtu yeyote haswa watu kama nyie nilikuwa nawakomesha Sana... Command kukutumia kudelete files zako ilikuwa kuomba uwepo wako online tu... Ila nimeacha ulikuwa utoto but Sijawahi ogopa maandishi... Huwa nafanya nachotaka... Nilishachat Sana kwenye social media enzi hizo people like you mlikuwa kibao yaani madomo zege waliona msichana anasemeshwa anaweka kinga and then Hana la kumuongelesha Mtoto Wa kike nikuambie Mtoto Wa kike anataka kusemeshwa unadhania kwenye dressing table wanakaa Sana kwa ajili ya nini? Kukaa na ububu?
BTW nimekuwa interested na hiyo ishu ya kijinga ya spying.Mkuu vita vya mtandao nishapigana Sana tokea 2001 wataalam Wa mitandao walikuwa chenga Sana security za mitandao zilikuwa down Sana niliweza hadi kuzima au kukuwekea virus kwenye computer ya mtu yeyote haswa watu kama nyie nilikuwa nawakomesha Sana... Command kukutumia kudelete files zako ilikuwa kuomba uwepo wako online tu... Ila nimeacha ulikuwa utoto but Sijawahi ogopa maandishi... Huwa nafanya nachotaka... Nilishachat Sana kwenye social media enzi hizo people like you mlikuwa kibao yaani madomo zege waliona msichana anasemeshwa anaweka kinga and then Hana la kumuongelesha Mtoto Wa kike nikuambie Mtoto Wa kike anataka kusemeshwa unadhania kwenye dressing table wanakaa Sana kwa ajili ya nini? Kukaa na ububu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Shauri yako.Kubabenga!!!! Nmedownlod ngoja na Mie ntapeliwe..