Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

huko badoo mara tgged sijui nini mwanamke anawez kutengeneza hata laki kwa siku akiwa kitandani kwake.. sasa akiweka picha akawateka watano wanatuma hiyo 20K si tayari ana laki?
 
Ile kusalimia tu......
c92e99fad164d43c8ee1a80ab7907271.jpg
 
d54dd4058ea69a6e7daace1a120f2f4c.jpg
8692698203326061ad279d2068f3257f.jpg
7f469265aa92a202434e8fe0a74fc08e.jpg

Huyu ni tapeli Mkubwa katika mitandao Ya kijamii hasa hasa badoo nadhani tushauriane kumkamata huyu mtu.maana ni Shida kashawatapeli watu wengi sana.nikiwemo Mimi nilimutumia elfu 10 .kwa Mashati aje tuonane Lkn mwisho wa Siku Ukawa ni maumivu .nimekusudia kuchafua Ktk mitandao yoote ikiwemo .nataka kuprint Picha zake kwa wingi halafu nizisambaze Posta yoote Na. Viunga yake has a Zanzibar Maana amekalia ni mkazi wa huko visiwani.bila uisahau kariakoo.na MAGOMENI.km bujeti Yangu itatosha nafika mpk Arusha Na. Pia kutangaza ktk gazeti la udaku japo moja natummpia tangazo huko.
Makubwa ayoo
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Yani elf kumi kuliwa ndio ulingie galama zote hizo
 
ka elfu kumi tu unapiga kelele jf nzima
na mkome kutongozarongoza mwishowe mtatembea na majini
 
  • Thanks
Reactions: SDG
i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.
tulifahamiana ila mi mtt wa kike kwa kudengua na mapozi hadi nakera..nliunstall hiyo app but still mkaka ananitafuta tu plz j tuonane niwe rafiki ako...nkamzungusha wee baada ya miezi akaniambia mi naondoka naenda abroad kusoma.alupofika huko tukaendelea kuwasiliana akafunguka tuanzishe relationship.tukawa in distance relatipnship mwaka mzima..mwenyewe baadae akazingua.
but nlimpenda na alinipenda mno..ni mtu aliekua ananielewa sana.
hakuna namna tena.
Ulikua unadengua bongo kaenda abroad fasta ukakubali!!! Wanawake na pesa teh teh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Shida unaweza kukuta sie yeye mwenyewe ila kuna mtu ndiyo anatumia picha zake
Hajui Huyu Anadhani Ni Picha Za Mhusika. Wengi Wanaojua Wanataka Kutapeli Ni Wanaume So.Wanatumia Picha Za Wanawake Tofauti. Sasa Ww Bakia Kupost Mipicha Apa Wakat Unayempost Hata Hajawah Kuingia Badoo!
 
Back
Top Bottom