Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Karibu wanawake wote wa badoo si wazuri. Sijui kwanini halafu wanajiuza .

Jaribu cupid na afrointroduction na wale waislamu muslima huko kidogo kuna vitu vinaeleweka.

Badoo weñgi kndoni,sinza,mtoni,tmk,ilala,buguruni sasa hiyo mitaa ni njaa tupu
 
Hiyo hela mtumie mzazi wako na hii baridi walau anunue sukari
 
Mkuu kama dhamira ya kujiunga huko Badoo ni kupata wanawake kubali tu kupigwa hiyo mizinga,utawapata mubashara kabsa
 
Badoo ni kokoro siku izi. Kuna mashoga, rejects, machangudoa, matapeli, wake za watu na kwa mbali wasaka ndoa. Kazi kwako
 
Badoo ni kokoro siku izi. Kuna mashoga, rejects, machangudoa, matapeli, wake za watu na kwa mbali wasaka ndoa. Kazi kwako
 
Upichukua namba za nn tuma pesa acha kulalamika
 
Ushamba upi? Walioko huko wanajua wanachokifanya huko inawezekana inawanufaisha
9oooloooookooooooooloooookoo99ok;kk;kkoooooooooooooooooooolooolooooooooooooooooooooooooooooooolooooooooooo9ooooooooooooooloooooooooo9ooollloooooooooooooo9ooooooooolloooloooooooo9oooooooooooooooooo9ooo9o
 
Habari za muda wanajukwaa,

Niende kwenye mada moja kwa moja,

Nimekuwa nikijaribu kufanya mawasiliano na baadhi ya wanawake kwenye mtandao wa Badoo, lakini cha ajabu asilimia kubwa kama sio wote, mkishaanza mawasiliano wataanza kuomba vocha, mara nauli, mara hela ya kula, mara ya saluni, sasa najiuliza kwanini hawa wanawake wako hivyo.

Mbona wao kila ukianza kuwasiliana nao ni mizinga tu na usipowatumia, au ukiwachana wanapotea kimoja, leo nimewasiliana na wanne wapya wote wamenipiga mizinga, mmoja hela ya kula, mwingine nauli na wengine wawili hela ya saloon, kwa nini wako hivi, wakuu hebu nipeni uzoefu wenu kuhusu hawa watu.
Kwani haujui badoo ni mtandao wa kujiuza?
Au umeenda tu kichwa kichwa?
 
Kwa sababu na wao wanajua unachokitaka wacha wakukomoe tu mapema...maana mkipata fursa huwa mnachokoa kuanzia kwenye maini nmpaka utumbo mpana
 
Back
Top Bottom