Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

QuickMemo%2B_2017-05-11-15-49-56.png

Nmekutana na huyu kahaba amechukua picha za kidoa anasema ndo yeye...hahaa nmecheka sana
 
nilipata mtoto mrembo sana badoo, nilipiga mara moja tu nikanogewa halafu kalikuwa kastaarabu sana, maskini baada ya muda kakanambia kana mimba ya mhe. mbunge mmoja kaligoma kumtaja jina na kalisema hakampendi ila kanampenda kwa sababu ya senti zake kakawa hadi kanashabikia ccm. kakasema kanataka kuitoa ile mimba, baada ya wiki kakaitoa. nikawa nakapigia simu kukajulia hali kakawa kanasema kametokwa damu sana kwenye hilo zoezi na kanaumwa sana. baada ya muda kakawa hakapatikani hadi sasa kimya. nadhani kamerest in peace. hadi leo namba ninayo kila ukipiga hakapatikana.
Mhhhh hebu jaribu kufuatilia mazingira mliyokutana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huu mzigo umewahi kuntumia picha yake ya uchi, ila mie ulintia mzinga wa chipsi na hakikisho la mgegedo.
Umetumiwa bosheni just picha na wewe umejiaminisha kuwa ndio picha yake[emoji23] [emoji23] sa zingine ni men sema kwenye gallery yake ana mapicha picha naked ya Makei... Kapick moja katuma mzee ukaamini
 
6a65d2c15376d48eb5adabb6509c3f64.jpg
Japo umenikombea visenti lakini bado nakupenda tu.
Huyu fb anajiita Joyce Peter juzi kati nikamchokoza,tumechart kidogo mara akanitext baby nikwambie kitu lkn usichukie,nikamjibu okay niambie ,,,aww kuna kitu nimeona mahali so jaman nimepungukiwa na elfu 20 naomba niongezee [emoji15] [emoji15],nilimjibu tu kistaarabu sina,mpaka Leo kwan anajibu tena text zangu
 
nilipata mtoto mrembo sana badoo, nilipiga mara moja tu nikanogewa halafu kalikuwa kastaarabu sana, maskini baada ya muda kakanambia kana mimba ya mhe. mbunge mmoja kaligoma kumtaja jina na kalisema hakampendi ila kanampenda kwa sababu ya senti zake kakawa hadi kanashabikia ccm. kakasema kanataka kuitoa ile mimba, baada ya wiki kakaitoa. nikawa nakapigia simu kukajulia hali kakawa kanasema kametokwa damu sana kwenye hilo zoezi na kanaumwa sana. baada ya muda kakawa hakapatikani hadi sasa kimya. nadhani kamerest in peace. hadi leo namba ninayo kila ukipiga hakapatikana.
duuuh
 
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mecheka mpk nimelia. Sàa 3 mpk sàa 10 yupo kwenye pikipiki
 
Wapenzi wa Man U tushatinga Fainal ya Uefa ligi tuwaachie Arsenal maana kwao nafasi ya Tano ni Ubingwa... Sie tukamle Ajax tu
 
9oooloooookooooooooloooookoo99ok;kk;kkoooooooooooooooooooolooolooooooooooooooooooooooooooooooolooooooooooo9ooooooooooooooloooooooooo9ooollloooooooooooooo9ooooooooolloooloooooooo9oooooooooooooooooo9ooo9o
kwani shule zishafungwa au?
 
Back
Top Bottom