Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 710
Ilo sio suala la ukahaba mitandao imerahisisha kila kituSasa huyo si kahaba achana nae mkuu,
Mpaka mnarumiana utupu wenu tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo sio suala la ukahaba mitandao imerahisisha kila kituSasa huyo si kahaba achana nae mkuu,
Mpaka mnarumiana utupu wenu tena
Ohoooo na yeye alitumia picha fake?Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani....
Bora hukukumbana na mkweo![emoji23][emoji23][emoji23]Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
Badoo ipo bado na imezidi kuimarikaHivi Badoo bado ipo tu?
enhee ikawaje🙂Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
Nilikua na chat na msichana kama wiki hivi akawa ananimwagia utamu wake wote kwenye watsap na sex story ambazo zimeniingia kisawasawa kichwani mwangu sasa shughuli ilikuja akawa anataka tufanye video sex hapo ndipo nilipoanza kupatwa na mashaka. Nilimkwepa siku kadhaa lakini nikaiingia kwenye mtego.
Kupokea amekutana na mtu tofauti na aliyemuona kwenye Badoo hapohapo akakata simu na saivi hataki mawasiliano na mimi, nimejaribu kupiga simu sana, kutuma meseji nyingi bila ya kupata majibu. Nisaidieni wana JF huyu mwanamke nimempenda ingawa hatujawahi kuonana sijui nifanyeje sasa.
Nilijaribu kumwambia mimi sipendi kuweka picha yangu halisi kwasababu siko sirias kukutana na mtu yoyote just chat tu wewe ndio wa mwanzo ambae nimetegemea tukutane lakini ananiambia hawezi kuniamini tena.
Nisaidieni ili nimrudishe kwenye imani yake ya mwanzo na huyu sio wale maneno mawili anakwambia shida.
Hahahah unatongoza msichana badoo?? Changudoa anatongozwa?Nilikua na chat na msichana kama wiki hivi akawa ananimwagia utamu wake wote kwenye watsap na sex story ambazo zimeniingia kisawasawa kichwani mwangu sasa shughuli ilikuja akawa anataka tufanye video sex hapo ndipo nilipoanza kupatwa na mashaka. Nilimkwepa siku kadhaa lakini nikaiingia kwenye mtego.
Kupokea amekutana na mtu tofauti na aliyemuona kwenye Badoo hapohapo akakata simu na saivi hataki mawasiliano na mimi, nimejaribu kupiga simu sana, kutuma meseji nyingi bila ya kupata majibu. Nisaidieni wana JF huyu mwanamke nimempenda ingawa hatujawahi kuonana sijui nifanyeje sasa.
Nilijaribu kumwambia mimi sipendi kuweka picha yangu halisi kwasababu siko sirias kukutana na mtu yoyote just chat tu wewe ndio wa mwanzo ambae nimetegemea tukutane lakini ananiambia hawezi kuniamini tena.
Nisaidieni ili nimrudishe kwenye imani yake ya mwanzo na huyu sio wale maneno mawili anakwambia shida.
Hakikaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani....
hahahaha, kwa kweli aende kwa amaniUmesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani....
na yeye alitumia fake, both team to scoreNilikua na chat na msichana kama wiki hivi akawa ananimwagia utamu wake wote kwenye watsap na sex story ambazo zimeniingia kisawasawa kichwani mwangu sasa shughuli ilikuja akawa anataka tufanye video sex hapo ndipo nilipoanza kupatwa na mashaka. Nilimkwepa siku kadhaa lakini nikaiingia kwenye mtego.