Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Pale mpemba alipopigwa pesa ndefu na simu ikazimwa
4e230f39b0cda7bdac6834f253cc68da.jpg
[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki hata kusikia huu mtandao, nilipata rafiki picha zake kama mnyarwanda anajiita mwanahawa dooo akanililia shida elfu 30 ile kumtumia ndio Ukawa mwisho wa urafiki wetu simu hapokei mwisho zikawa hazipatikani kabisa namba zake ni hz huyu tapeli 0718870900 na 0684642067
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mtu mzima ukaambulia patupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nili toka ubungo mpaka gomzi na bajaji, ni kama 20k ivi, tuli jifungia ndani kwa wiki moja ivi, ilikua ni cuddling na making love.
Tuka rudi chuga ndo mambo yalipo haribika. I was still an intern demu aka nitema, ila poa, i had a fair share to blame, still love her though. G love you boo
 
Heshima kwenu wakuu.

Well, bila ya kupoteza muda wakuu hii app imekuwa ni matata sana kwenye kui-download.

Nimetumia blackmart, getapk, freeapkdownloader vyote nimekwama naomba msaada mwenye maujanja ya kupata app hii anisaidie wakuu.

Nawasilisha.
 
Una umri gani, unatafuta nini huko?
 
Heshima kwenu wakuu.

Well, bila ya kupoteza muda wakuu hii app imekuwa ni matata sana kwenye kui-download.

Nimetumia blackmart, getapk, freeapkdownloader vyote nimekwama naomba msaada mwenye maujanja ya kupata app hii anisaidie wakuu.

Nawasilisha.
Wazee wa take away.
 
Back
Top Bottom