maniga2018
Member
- Sep 7, 2018
- 37
- 89
Hivi hiyo App bado hipo tu?
Sisi Wahenga tumeisahau hiyo kitambo sana.
Sisi Wahenga tumeisahau hiyo kitambo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta nini huko?
Hivi hiyo App bado hipo tu?
Sisi Wahenga tumeisahau hiyo kitambo sana.
Niambie mkuu ni vitu gani ambavyo wameviboresha na vitanishawishi kurudi tena huko Badoo?Kumbe ulishakuwa mwanachama mkuu.
Safi sana bado ipo kiongozi wangu wamezidi kuiboresha maradufu bro. Iko poa sana mkuu.
Niambie mkuu ni vitu gani ambavyo wameviboresha na vitanishawishi kurudi tena huko Badoo?
Kitambo mkuu mambo ya kule yanatishaMkuu, hivi ulishawahi kuingia japo kuchungulia bro...?
Wengine hatunywi pombe wala sigara hatuvuti mkuu.
Bahati mbaya sina Hobby na hayo makituMkuu sometimes ku-reflesh sio mbaya kiongozi.
Hawajaweka limit ya kuwa mwisho umri gani kule kama una maujanja nisaidie bro. Thanks.
Mkuu, hivi ulishawahi kuingia japo kuchungulia bro...?
Wengine hatunywi pombe wala sigara hatuvuti mkuu.
Kitambo mkuu mambo ya kule yanatisha
safi wanawane...sasa starehe ni kugegeda tuu. kwanza axhana na pombe na sigara zote starehe feki hizo. starehe orijino ni kugegeda
Bahati mbaya sina Hobby na hayo makitu
We kweli chenga, app tayari unayo halafu unaomba njia ya kuidownload.. Hiyo attachment umeiweka hapo umeitoa wapi?Ulivyoviacha sio utakavyovikuta mkuu.
View attachment 864000
Yapo mengi tu mazuri kiongozi ila ukiwa na Badoo Premium ndio uta-enjoy zaidi bro that's why nikasema niombe kwa wadau ili mwenye kujua anisaidie mkuu.
Hahahahah.
Wee jamaa bwana vipi mkuu na wee upo kwenye chama la wana nini kiongozi.. .?
Hiyo ndio starehe KUU tangu kuumbwa ADAM mkuu.
Nipe basi maujanja ya Badoo Premium bro.
Pcha za kudownload hzo.. Si ya muhusikaUlivyoviacha sio utakavyovikuta mkuu.
View attachment 864000
Yapo mengi tu mazuri kiongozi ila ukiwa na Badoo Premium ndio uta-enjoy zaidi bro that's why nikasema niombe kwa wadau ili mwenye kujua anisaidie mkuu.
Mmmmmh huwa unaitumia kufanyaje?
We kweli chenga, app tayari unayo halafu unaomba njia ya kuidownload.. Hiyo attachment umeiweka hapo umeitoa wapi?
Na kama wameiboresha umejuaje wakati hiyo app umesema haupo nayo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmh huwa unaitumia kufanyaje?