Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Pcha za kudownload hzo.. Si ya muhusika

Hahahahah.

Hizo hizo za ku-download ndio nzuri wala hatutaki za wahusika aisee. Kama hizi.

Screenshot_20180912-161657.png

Screenshot_20180912-161703.png
 
Unajua kitu kinaitwa In-app purchases mkuu?

Mkuu, jinsi nnavyoelewa kwa uelewa wangu mdogo kwenye haya masuala ni kuwa ; hiyo In-app purchases inakuwa tuseme mtu una app unaitumia kwa mfano game labda unaweza ukawa na coins au mabom kwa mfano game za vita sasa ukaishiwa kwa hiyo ukahitajika kununua coin nyingine au mabomu mengine ili uweze kupata hiko kitu unachohitaji kiongozi.

Sasa kwenye hiyo kununua huwa wanauliza credit card yako au payment method ili uweze kulipia upate hivyo vitu mkuu.

Sjui nimepatia au nimekosea kiongozi niweke sawa bro. Thanks.
 
No, nimekuuliza tu ili kujua kama umefanikiwa au bado ili wadau waendelee kukupa msaada au laa...?

Ooh Owkay thanks a lot mkuu.

Aisee msaada bado unahitajika sijafanikiwa hata mkuu. Please help me aisee.
 
Ulivyoviacha sio utakavyovikuta mkuu.

View attachment 864000

Yapo mengi tu mazuri kiongozi ila ukiwa na Badoo Premium ndio uta-enjoy zaidi bro that's why nikasema niombe kwa wadau ili mwenye kujua anisaidie mkuu.
Asilimia 99.99 ni mwanaume huyo,

Badoo premium apk haifanyi kazi walishaacha kutumia separate apk, sasa hivi badoo premium ni service unanunua kwenye hio apk yako ya kawaida.
 
Asilimia 99.99 ni mwanaume huyo,

Badoo premium apk haifanyi kazi walishaacha kutumia separate apk, sasa hivi badoo premium ni service unanunua kwenye hio apk yako ya kawaida.

Dah, mpaka mkuu wa hiki kitengo umeamua kutoa neno basi sidhani kama kuna mtu ataweza kusaidia katika hili mkuu.

Ila mbona Play Store wanayo hiyo Premium app na inauzwa kiongozi...?. Inakuaje unasema wameacha kutumia separate apk mkuu...?.
 
Nimeijaribu hio premium apk haikupi super powers, unaweza ukaicheki ipo aptoide
 
Badoo nimeiondoa kwenye sim yangu juzi tu.

Kwenye app kuna sehem ya kuactivate premium. Unalipia ni kuanzia 15 elf hafi 45 kama sijakosea.

Tenga 15 hapo ulipie upate exclusive features kama direct text kwa warembo nk.

Kua makini wengi ni wanaume. Usitume nauli kabla hujaonana na mtu wala usitume hela bila kumuona mtu.

Lakini pia usisahau madem wengi wa badoo ni single mothers.
 
Badoo nimeiondoa kwenye sim yangu juzi tu.

Asa kwa nini umeiondoa kiongozi...?

Kwenye app kuna sehem ya kuactivate premium. Unalipia ni kuanzia 15 elf hafi 45 kama sijakosea.

Tenga 15 hapo ulipie upate exclusive features kama direct text kwa warembo nk.

Yeah huwa naonaga aisee wanasema u-activate Super Power mkuu.

Kua makini wengi ni wanaume. Usitume nauli kabla hujaonana na mtu wala usitume hela bila kumuona mtu.

Bahati nzuri wote nnaokutana nao ni mademu mkuu. Kuna technique za kuwajua hawa viumbe kiongozi.

Lakini pia usisahau madem wengi wa badoo ni single mothers.

Sio uongo unachosema ila hata vigoli wapo tena wengi tu mkuu.
 
Asa kwa nini umeiondoa kiongozi...?
Yeah huwa naonaga aisee wanasema u-activate Super Power mkuu.
Bahati nzuri wote nnaokutana nao ni mademu mkuu. Kuna technique za kuwajua hawa viumbe kiongozi.
Sio uongo unachosema ila hata vigoli wapo tena wengi tu mkuu.
Sioni sababu ya kuendelea kua nayo. Nina wanawake wengi sana nje ya badoo. Kua na badoo kunanishawishi kuendelea kutafta wanawake wengine.

Hua naiondoa na nairudisha baada ya muda kama miezi au miaka, sema sasa nimefuta hadi account kabisa.

Lakini pia sasa nimejiwekea mkakati nataka kua serious kwenye mahusiano, kuendelea kua na badoo ni kuhujumu jitihada zangu za kubadilika.
 
Back
Top Bottom