Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Unaweza ukapofoka macho kuleHahahah.
Wala sio ya kutisha sana kiongozi kawaida tu aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukapofoka macho kuleHahahah.
Wala sio ya kutisha sana kiongozi kawaida tu aisee.
Pcha za kudownload hzo.. Si ya muhusika
Hahahahah.
Nnayoomba mimi ni Badoo Premium na hii niliyonayo ni ya kawaida sio Premium.
Umeelewa bro...?
Vipi ulifanikiwa aisee...?
Unajua kitu kinaitwa In-app purchases mkuu?
Vipi kwani na wewe unataka mkuu...?
No, nimekuuliza tu ili kujua kama umefanikiwa au bado ili wadau waendelee kukupa msaada au laa...?
Ooh Owkay thanks a lot mkuu.
Aisee msaada bado unahitajika sijafanikiwa hata mkuu. Please help me aisee.
Okay fine subiri tu wadau watakuja kukupa nondo wala usjali this is JF kaka.
Nashkuru kiongozi ndio mawasubiri hapa mkuu.
Ubarikiwe sana aisee.
Asilimia 99.99 ni mwanaume huyo,Ulivyoviacha sio utakavyovikuta mkuu.
View attachment 864000
Yapo mengi tu mazuri kiongozi ila ukiwa na Badoo Premium ndio uta-enjoy zaidi bro that's why nikasema niombe kwa wadau ili mwenye kujua anisaidie mkuu.
Asilimia 99.99 ni mwanaume huyo,
Badoo premium apk haifanyi kazi walishaacha kutumia separate apk, sasa hivi badoo premium ni service unanunua kwenye hio apk yako ya kawaida.
Nashkuru kiongozi ndio mawasubiri hapa mkuu.
Ubarikiwe sana aisee.
Kwani bado hujaoa aisee huna mke kabisa...?
Nimeijaribu hio premium apk haikupi super powers, unaweza ukaicheki ipo aptoideDah, mpaka mkuu wa hiki kitengo umeamua kutoa neno basi sidhani kama kuna mtu ataweza kusaidia katika hili mkuu.
Ila mbona Play Store wanayo hiyo Premium app na inauzwa kiongozi...?. Inakuaje unasema wameacha kutumia separate apk mkuu...?.
Nimeijaribu hio premium apk haikupi super powers, unaweza ukaicheki ipo aptoide
Badoo nimeiondoa kwenye sim yangu juzi tu.
Kwenye app kuna sehem ya kuactivate premium. Unalipia ni kuanzia 15 elf hafi 45 kama sijakosea.
Tenga 15 hapo ulipie upate exclusive features kama direct text kwa warembo nk.
Kua makini wengi ni wanaume. Usitume nauli kabla hujaonana na mtu wala usitume hela bila kumuona mtu.
Lakini pia usisahau madem wengi wa badoo ni single mothers.
Sioni sababu ya kuendelea kua nayo. Nina wanawake wengi sana nje ya badoo. Kua na badoo kunanishawishi kuendelea kutafta wanawake wengine.Asa kwa nini umeiondoa kiongozi...?
Yeah huwa naonaga aisee wanasema u-activate Super Power mkuu.
Bahati nzuri wote nnaokutana nao ni mademu mkuu. Kuna technique za kuwajua hawa viumbe kiongozi.
Sio uongo unachosema ila hata vigoli wapo tena wengi tu mkuu.