Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Uvivu wa nini?
Activate akaunti tu utawapata. Tena wala sio wazee wa 'tuma nauli".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tushawashobokea sana hao watoto ndio maana
IMG_20190224_170654_126.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tushawashobokea sana hao watoto ndio maana View attachment 1031047

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaa. Wapo wengi wa ukwelu sio wote mikausho. Endelea tu utawapata tena wanatoa namba kiulaini tu.
Kuna mmoja namjua kabisa nineona picha yake anadai yuko Dom kumbe yupo Dar. Sasa sijui anataka aliwe mtu nauli ya Dom ila nimemtest mikausho kwa sana.

Kwa sasa nimeshastaf baada ya kumla mtoto mmoja mkali sana kule insta siku chache zilizopita.
Nimeuninstall apps zote za mambo hayo.

Hahaha Pamoja sana mkuu si wengine damu Bado inachemka ngoja tuendelee na zoezi LA kuwasaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa chini mpigaji huyo...akiketa usanii nawe kuwa msanii tu.
Kuna mmoja anaitwa Aisha anajifanya yuko Masaki kumbe yupo Moshi. Alituma namba anataka hela..sasa mimi nina access ya kujua mtu yuko wapi. Kumcheki kumbe yupo Moshi. Nikamblock.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu kumbe unawawezea Hawa wadudu huo

Ahsante Kwa kutupa janja

Back
Top Bottom