Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hao hao ...Lakini naomba nikuulize. .Unaweza kuoa mwanamke uliye kutana nae sinza ambiance?Kwani wa mtandaoni wanatoka sayari nyingine?
Si ndio hawa hawa tunapishana nao mitaani.
Neno demu silipendi
Inategemeana.Ndio hao hao ...Lakini naomba nikuulize. .Unaweza kuoa mwanamke uliye kutana nae sinza ambiance?
Tumuombee😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
ana roho ngumu kama 'high tensile Titanium' uyu baharia
Inategemeana nini sasa '? ....Inategemeana.
Moyo unaweza kuzima sehemu hata usiyo tegemea.Inategemeana nini sasa '? ....
Anaweza kabisa kuwa Mke mwema.Wakuu
Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.
Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.
Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.
Waumin wa picha vuteni subra
Ha ha ha ha ha Biashara za badoo ni nouma aisee, mbona kama wanapata hela hivyo kirahisi hawawi matajiri??
Hapo lazima ulizwe. Wale waliokua serious na biashara hawazingui sana.
Ulikula mbunye lakini?Mademu wa badoo ni shida,,nishafungishwa safari toka posta mpaka buza two times aiseeee
AiseeeeAseeh
Huku nimejilia watoto huku!Karibu TINDER
Simpo tu. Download ana add madem unaanza kupatana nao.Unajiungaje huko Tan tan? Msaada?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapo kama woteSimpo tu. Download ana add madem unaanza kupatana nao.