Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Wakuu

Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.

Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.

Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.

Waumin wa picha vuteni subra
Ulipompata huyo mwanamke ndiyo nawe ulipo kuna shida gani...huwa nashangaa sana mwanaume kumlalamikia mke wake anachelewa kurudi nyumbani ni mtu wa club saaa wewe umempata mwanamke club unategemea siku za usoni asiende club mkiwa kwenye ndoa? Ndege wenye rangi moja huruka pamoja
 
Wakuu

Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.

Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.

Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.

Waumin wa picha vuteni subra
MKE ANATOKA POPOTE
 
Hata yeye kakutoa mtandaoni> Je wewe unafaa kwa matumizi endelevu>?
 
Back
Top Bottom