Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Unataka awe na account wapi?
Wahudumu wa mahotelini ukiwa na SHEKELI UCHAWI WA MZUNGU PESA UNAWABATUA..BAHAMEDI KWENYE BAR PESA YAKO.MABINTI USWAHILINI WAKE ZA WATU ILIMRADI WAZIPENDE PESA WANATWANGWA...WATOTO WA USHUANI UKIWAPATIA WANAPIGWA...KWA HIYO WALIO WENGI WANATAFUNWA MZEE
 
Wakuu
Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.
Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.
Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.
Waumin wa picha vuteni subra
anaweza akakufaa ila pia mnaweza kugombana na kuachana hata kabla ya kukutana
 
Nimewahi kuwa na mpenzi kutoka badoo na tulidumu for 6 month sikuwahi ona kama ni mapepe kihivyo na nilikua napiga kavu 2016 hiyo na alihitaji serious relationship.
Lakini kwa kuwa nilimpata badoo sikumuamini so siku namuacha alilia sana asee ila sikuwa na namna.
 
Oa tu...mademu wote mule ni makahaba, ila pia kahaba ni mwanadamu na anabadilika pia.

Kikubwa akiri kwako yeye ni kahaba akishafanya hvyo ni step kubwa sana ya yeye kuacha tabia yake hiyo.

Kila la kheri mkuu,uwavumilia wateja wake wa zamani kwa sasa
Mkuu.. hii inawezekanaje hii?
 
Back
Top Bottom