Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Habariii za waakati?

Niko badoo ni kama mwaka wa 4.Huwa na chart na mabinti wengi na namba nachukua tunawasiliana bila tatizo.Sijawai kuonana na binti yeyote badoo zaidi ya kwenye simu isipokua jana jioni(nitasema stori yake).Urafiki na hawa mabinti wa badoo haudumu na mimi kwa sababu kadhaa.Kwanza sikua na nia nao sana.Pili sikupata kisu cha kunishawishi.Tatu sijawahi kununua mwanamke labda kama kumpa mwanamke wang baada ya mapenzi ni kununua hiyo ni sawa nitakua nimenunua sana.Ila kwenda sokoni na kukubaliana bei nikaondoka na mzigo bado.Na hata marafiki sometimes tukitoka wananunua.Ila mimi hapana.

Sasa hawa mabinti wengi walikua wanataja madau yao.Namimi nakubaliana nao fresh lakin mwisho wa maongezi maweka kikwazo.Mfano binti anasema kulala na mimi ni 50k.Chumba juu yako na usafiri.Mimi nakubali then namwambia hapo kwenye 50 naongeza 20k unipe na tako.Hapo ndipo biashara inapokufia.Na kama akikubali tatizo litakuja kwenye pesa atataka aongezwe.Hapo nitakubali lakini namwambia nitapiga kavu kavu bila zana.Hapo lazima akutukane ama akupotezee asikujibu.Sababu anajua wewe utakua na ngoma unataka kumwambukiza...

Sasa kisa cha kwanza binti yuko chuo cha ardhi.Tumechart sana mambo mengi.Hatukuzungumza mapenzi tumepeana namba.Tunawasiliana sana.Pesa aombi kabisa.kila wakati ananitumia picha na mimi namtumia kwenye bata zangu.Yaani ni rafiki fresh tu.Tumeenda kama miezi mitatu hatujawai kuonana mpaka sasa (ni picha na video call).Nikaingiza mapenzi mtoto kakolea.Kaniganda vibaya sana anataka tuonane sasa.Sijawa teyari napata walakini.Pili single mothers ni pasua kichwa....

Kisa cha pili binti nilieonana nae.Alianza kunitafuta yeye.Tukaongea sana kama week.Akaniambia kabisa mimi sijiuzi.Ukiangalia picha ni mtoto wa mana.Nikaona kanianza mwenyewe nisiwe na haraka halafu binti anaonekana anajielewa kwa maongezi yake kwenye simu.Siku niko off binti kaja nyumbani.Kwanza kumpokea tu kituo cha daladala ni vituko.Watu njia nzima wanatuangalia sisi.Ni tofauti nil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rich Ze Best, Ni tofauti nilivotegemea.Mpaka nikawa nasikia aibu..Tukafika home anashangashangaa mazingira.Mimi sina habari.Unakunywa nini?kakataa,Kula pia kagoma,Sio kesi nimeweka movie(baby driver)Tumeangalia na stori za hapa na pale uku simu yake nimemwekea kwenye chaji.Movie imekwisha nimemsindikiza (Ndani kwangu sijaonesha hisia ya kumtaka kabisa)Zaidi aliniuliza starehe yako ni nini.Nikamwambia mimi sivuti wala sinywi.Mi wangu wanawake tu.Akacheka sana.Kumbeee"wewe malaya"..Nikamwambia hapana kawaida tu.Basi akaondoka na safari zake.Mi nikarudi home.baada ya nusu saa anatuma ujumbe.Nimefika home.Nikamwambia poa mi nimetoka kidogo. Baadae tena katuma sms anataka kuja kulala kwangu.Nikashangaa.Nikamwambia nikiwahi kurudi nitakwambia uje (kumbe sina mpango)Toka hapo ananisumbua vibaya.Kila saa ananipigia simu.Mara ohooo!unaringa sana,mara nitakupata tu,mara hapa utanasa,Bahati mbaya anakuja home bila taarifa akiona simu haipatikani.Sms kibao za vitish😵le wako nikukute na demu.Badoo kiboko.nimekoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rich Ze Best,



Mimi nilipata mmoja tukachat baadae nikatupia verse kaingia kingi ila inaonekana kama sio malaya basi anapenda sana sex maana ni story za mshedede tu anataka ukichat nae

nilimkaribisha kwangu akavua nguo zote akajilaza kitandan akanivuta lakini Mimi sikumgusa maana siwez mtafuna kavu MTU nisie mjua alinipa blow job tu baadae nikamsidindikiza akaondoka anadai ananipenda pia kuja kaja na naul yake pia kuondoka kaniambia nikiwa free nimshtue anataka aje kushinda nimkune tu


tatizo anatoa harufu kwenye papuchi
ana kajibu kwenye papuchi ila anatumia dawa
ana mavuzi mengi sanaa
 
ulitegemea vip na alikuwaje?hebu fafanua kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikio katoboa kama tundu nane kila upande,
Mikononi kachafua tatuu kama zote,
Upande mmoja wa usoni yuko na bonge la ngeu,
Kavaa vinguo vimembana kinyama,
Kafunga kipochi kiunoni kama wapiga picha wa zamani,Makucha sasa!!kila mkono na rangi yake..
Pua katoboa kavaa kipini cha haja, makope kama usinga.
Aisee yuko fake kabisaa.Snapchart inadanganya sana sana.#shame on you mabinti msiojielewa..

Unaanzaje sasa kwa binti kama huyo hata kama uko na matamaa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha! Mimi nilimpata kiutani utani,lakini sharti la kwanza alisema HUWEZI KUILA PAPUCHI kabla hatujacheck AFYA zetu.Bwana bwana hii kitu ya kwenda Kupima kwa sisi MaMen full kuogopa.Kingine eti kwa kuwa ushanipata sharti nijitoe Huko asuuuubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nwaka jana nilichat na mmoja,akadai show time 30000/= nikamwambia njoo mbagala,akauliza una gari nikatikia ndio,akasema baada ya show utanirudisha nikakubali,majira ya saa tatu na nusu naona ujumbe kuwa kafika,nikamwambia nisubiri nakuja ,nikaweka sim vibration nikaenda nikabana sehemu nikatulia nikawa namcheki alipo,mala paaa namuona !!!! Khaaa ni kama jini maana miguu miembamba alafu kavaa kiguo kimembana balaa,katia na wigi kama kichaka yanaonekana macho na mdomo tu,miguuni ni vikuku tu,nikasogea bila yeye kutambua kama Mimi ndie nikamuuliza dada unahitaji tax? Akajibu hapana nasubilia magari ya buza nikamwambia sawa,kwa kweli toka siku hiyo nikafuta na hiyo app ya badoo kabisa maana si kwa yule kituko yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom