KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Hapo umedanganya lile ni sokoMi nakataaaa nachat badoo huu mwaka wa tano sijawah mvulia mwanaume nguo. Na ukiongelea kuhusu nn, Kuna wanaume wanalugha za ajabu mule badoo heeeeee...!!!! Yaaan.. Alaf ndo mnasema wanawake wa mule kha!!! Ila utakavyokua unachat na mtu, the you present your self ndivyo watakavyocheza na ww.
Sent using Jamii Forums mobile app