Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwahyo unaamua ujitoe muhanga ukachukue wale wa 5000 kibaharia zaid [emoji16]

Mtandaon hadi 20000 unapata
Hahahah kuna ile polisi wanakudaka alaf wanakupiga picha na bango lenye full info [emoji23] [emoji23]
Na mimi kitaani naonekana bonge la kondoo daah
Sema wa mitandaoni nao hizo bei zao bora nibaki Chaputa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo hayo ya badoo kweli ule mtandao ukimkuta demu wako hesabu maumivu halafu nenda kapime [emoji23][emoji23]View attachment 1372321View attachment 1372317View attachment 1372318View attachment 1372320View attachment 1372319
Screenshot_20200229-102136.jpeg
Screenshot_20200229-101959.jpeg
Screenshot_20200229-101702.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mabaria inakuwaje mfano umemuona mtoto badoo umemuomba namb mkayajenga ukamnunua mtoto badoo au kokote kule baada ya kumaliza kufanya yako unampa chake unasepa


Mara kesho au baada ya siku mbili anaanza kukutafuta kukusalimia tu text za kawaida kama mshafahamiana vile sio siku moja yaan mwendelezo hivi kwa nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom