Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Duuh ila komaa baba, na kama kuna medals zinatolewa huko twaa zote eeh[emoji3] ,take care lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si mnabana huko PM na tukija kwa njia nyingine mnatutishia kutu [emoji379] acha tukomae tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
IMG_6699.JPG


Nimepigwa Ten na uyu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee we jamaa ni masta aisee. Hats off (nakuvulia kofia). Kama huna tiketi ya kwenda kumuona mopao mokonzi a.k.a mikael jaksonee najitolea kukununulia [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana chief, Sasha, toto ya IFM
+255 656 .... 655

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitoto vinanikimbia siku hizi, Kwasababu jina langu Muddy![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Hataree sana mambo ya badoo
 
Back
Top Bottom