Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nitoe ushauri kwa watoto na wadogo zangu wa humu jf hii mitandao sio mizuri kuna baadhi ya taasisi hutaweza kuajiriwa kama umewahi kuwa user kwenye hiyo mitandao kama mnataka kuchezea future zenu nendeni huko badoo na upuuzi mwingine

We endelea kufundisha 'tuisheni tu' sio kila mtu ana ndoto na hizo taasisi zako.
 
Mzee upo sawa sawia. Nilipokua mwanza nilijitahidi sana kuwatafuta maduu wa mwanza kwenyw badoo lakini sikuambulia chochote. Nimeamua nijitoe kabisa
 
Nitoe ushauri kwa watoto na wadogo zangu wa humu jf hii mitandao sio mizuri kuna baadhi ya taasisi hutaweza kuajiriwa kama umewahi kuwa user kwenye hiyo mitandao kama mnataka kuchezea future zenu nendeni huko badoo na upuuzi mwingine
Mkuu za serikali hii au nje ya nchi
 
Nenda Tinder, tinder kuna watoto wazuri na wana very strict policies kule.

Wanafunzi wa vyuo, watoto wa geti kali, malaya wa high class wengi utawakuta tinder.

Badoo- machangu, mashoga na kila aina ya uchafu. Kuna malaya hata elfu 5 unakula mbunye.

Meet me- haina tofauti na badoo.

Hitwe- machangu waliokubuhu. Ma mama ya umri mkubwa. Hawa kuna hadi wa bia 2.

Eskimi- machangu yaliyobobea, Mashoga. Hawa wengi ni majimama ya uswahilini

Tantan- single mamas. Yaani huu mtandao umejaa single mamas wa miaka ya 20 hadi 30.

Lovoo, tagged na mitandao mingine ni machangu watupu.

Binafsi nakula watoto wazuri kutoka tinder.
Jamani aaaah
Kote huko umefukunyua
Wewe tukuite nani sasa
 
Kuna mmoja unaitwa hi 5 ndo haufai kabisa. Nilikutana na jimama ila kwenye dp limeweka picha ya mtoto mkalii. Kabla hatujaonana lilikomaa tukutane gest/hotelini ila nikamwambia njoo sehem kwanza tufahamiane. Alipokuja sikutamani hata kuendelea kukaa nae, nikamtoa ten kasepa
 
Usingemtoa kabisa
 
Back
Top Bottom