Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Ile siku nimejichanganya kuingia badoo kwa lengo la kushangaa tu (cos ndo ilkuwa mara ya kwanza kuperuzi humo)nikakutana live na kajamaa kanajitambulisha kanakaa sinza kanataka nikakasuuze 0717[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Loool.....NIKATUMIA BUSARA TU KUKAJIBU ,”KAKA MI NI STRAIGHT I DONT DO GAYS “

Nashangaa jamaa hakuwa muelewa analazimisha hata anitumie nauli ya boda nifike hapo sinza kwa haraka kutimiza haja yake ya “UFIRAUNI”.

So sikuweza kuendelea na kuchat naye nikamjenga ukweli kuwa niko huku kwa minajili ya kushangaa vipusa na sio alele kama yeye.

Hilo tukio lilitukia mnamo mwaka 2019,tangu hapo nikawa nachukia hiyo kitu badoo mpaka leo sijawahi kuzuru programu tumishi hiyo.

Mtoto akililia wembe, mpe.
 
Back
Top Bottom