Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Hapo mkuu fanya ivi ingia utakuta sehem ya kubrowse kwenye filter chagua mkoa wako alaf pigs ok then jaribu kuchagua dem yyte wengne kutext Ni free
Njia nyngne ww uwe unawalike akikulike back mnamatch then mnachat free
Bonus Kama uko mbya naweza kupa connection ya huyu

View attachment 2155569
Umesha mtafuta tafuna ndo unatoa connection [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[mention]cocastic [/mention] hujaona hii convo ya mwanachama wako kuomba kutinduliwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anawadanganya nyie, mbna nimemuambia akaanze upya hii ka fail.
 
Back
Top Bottom