Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega mkoani Tabora.
Unaambiwa baada ya kutokea kwa tukio hilo wananchi walianza kuwafuatilia wale washkaji ambao ni wauaji na kuwakuta nyumbani kwa mganga wa kienyeji wakiogeshwa dawa ili wasikamatwe.
Wakamkamata Mganga, wale jamaa wakaua wote...
Wananchi wakawamamata, wakawapiga kipigo cha mbwa mwizi, walipohakilisha wamekufa wakawachoma moto kulaleki..
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amezungumza na vyombo vya habari na amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwatuma wauaji hao.