Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Dah aiseeR.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aiseeR.I.P
Mungu ameumba binaadamu na shetani, sasa matendo yetu ndiyo yatotufautisha nani binaadamu na nani shetani, lakini kwa haraka haraka ukiangalia hivi unaona kama wote tunafanana,sema matendo yetu ndiyo hayafanani, kwa maana binaadamu ana matendo ya kibinaadamu,na shetani ana matendo ya kishetani!!Na hizo sehemu za marehemu wamezipata? Ila biandamu mbona tumekua wanyama hivi inaogopesha sana
imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega mkoani Tabora.
Unaambiwa baada ya kutokea kwa tukio hilo wananchi walianza kuwafuatilia wale washkaji ambao ni wauaji na kuwakuta nyumbani kwa mganga wa kienyeji wakiogeshwa dawa ili wasikamatwe.
Wakamkamata Mganga, wale jamaa wakaua wote...
Wananchi wakawamamata, wakawapiga kipigo cha mbwa mwizi, walipohakilisha wamekufa wakawachoma moto kulaleki..
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amezungumza na vyombo vya habari na amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwatuma wauaji hao.
Hahahaimeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
Majini yalikuwa kichwani kwa boss wao wakayaulia humohumo😁Majini yalikuwa wapi au yalienda au bhasi.
InawezekanaMajini yalikuwa kichwani kwa boss wao wakayaulia humohumo😁
😇😇Kwa hiyo ndio ili wakatajirike waondokane na umaskini ? Au ?
Tabia mbaya sana.