Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

Na hizo sehemu za marehemu wamezipata? Ila biandamu mbona tumekua wanyama hivi inaogopesha sana
Mungu ameumba binaadamu na shetani, sasa matendo yetu ndiyo yatotufautisha nani binaadamu na nani shetani, lakini kwa haraka haraka ukiangalia hivi unaona kama wote tunafanana,sema matendo yetu ndiyo hayafanani, kwa maana binaadamu ana matendo ya kibinaadamu,na shetani ana matendo ya kishetani!!
 
imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
 
Kwa hiyo ndio ili wakatajirike waondokane na umaskini ? Au ?
Tabia mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…