Mwanamke auawa na kijana ambae walikuwa wakiishi kama mke na mume

Hii tunaita kula na kipofu, na wadogo zetu hawawezi!
 
Vijana hawajui ku focus mapenzi yanawatoa kwenye reli
Yap
Wakati mapenzi ni service ya kawaida sana.
...mtu ukibebwa shikilia.....
Mie nilikuwa nasaidia kupima pombe...kuosha vyombo vya pombe...kukusanya hela kwa walevi na usafi kwa ujumla....NA HAYO YOTE NIKAZIDISHIWA>>>NA KUPEWA UKARIMU WA KIFALME..... 🙂
 
natamani niwatag marioo wote na wasome hapa waelewe
 
Oh Marioo.
 
46-35=11.
Hakikisha unapata mwenza wako ktk ujana wako.
Hakikisha unalinda na kushikiria mausiano hayo.
Jioni ikifika utatafuta yoyote wa kukupalamia kwa sbb upweke hauzoeleki.

kwako kijana mjinga, kwani hujui mama muuza supu/ chakula ni mali ya wateja?.
si nimefundisha hii.
Sasa umeua mtu kwa sbb za kijinga, utajuta maisha yako yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…