[emoji23][emoji23][emoji23] mi sikutaka Millard ayo anipost [emoji23][emoji23]Yani mtoa mada ulivyopoa [emoji23][emoji23][emoji23]Hadi kero mnakuwaga sio watundu kabisa nyie,, demu umemkuta na mtu na bado ukaendelea kujipendekeza [emoji1787][emoji1787]aina yako simtaki aisee
Hongera baba paroko[emoji23][emoji23][emoji23] mi sikutaka Millard ayo anipost [emoji23][emoji23]
Hizo mbona nyingi, tu mimi naweza kuwa mtundu sana Ila sio simu ya mwanamke, ukifanya ujinga kwenye simu yako wa mkomoa nani?! That's your life ndo maana nikamuacha,Eeeh sio tumekaa sebuleni tunaangaliana km waandishi wa habari wakimrikodi rais kwenye mkutano,, inatakiwa unibonyeze tako, unikonyeze,, ushike simu yangu uikague kague,, unitekenye unibusu,, nk namna hiyo yani
Unyonge plus ufalaHuu sio unyonge ni ufala
Ulizingua we utamfumaje mwanamke wako alafu ukaendelea nae ukizingitai hamjaoana wanawake hawatakigi watu wastaarabu kupitiliza na wanaowaheshimu sanaHizo mbona nyingi, tu mimi naweza kuwa mtundu sana Ila sio simu ya mwanamke, ukifanya ujinga kwenye simu yako wa mkomoa nani?! That's your life ndo maana nikamuacha,
Ufanye ujinga mwenyewe afu nikifanya tukio mjinga nionekane mimi, never.
Fanya matukio yako fainali uzeeni tu, sitaki kuwa katili na kujipeleka jera kwa sababu za kipuuzi
Hili ni somo jipya kwangu, ningemuua nadhan ningekuwa kidume huko kuzimu labdaUlizingua we utamfumaje mwanamke wako alafu ukaendelea nae ukizingitai hamjaoana wanawake hawatakigi watu wastaarabu kupitiliza na wanaowaheshimu sana
Swala sio kumuua usiwe zoba, hata kukusaliti itakua alishakuona wewe ni zobaHili ni somo jipya kwangu, ningemuua nadhan ningekuwa kidume huko kuzimu labda
umesahau zile muvi wanapigana kwenye maji huku mmoja kavaa π ataligwa mpaka anaelea ila miwani haijatoka machoniπππChunviiii ati akamfuma alafu akaedelea nae? Mmmmh? Mwanaume wa bongo hii?π
Wanaosalitiwa wote ni zoba,?!, Tatizo ni ujuajiSwala sio kumuua usiwe zoba, hata kukusaliti itakua alishakuona wewe ni zoba
Umkute demu na sio mke Yuko na mwanaume anakusaliti na ukaendelea nae huo ni uzobaWanaosalitiwa wote ni zoba,?!, Tatizo ni ujuaji