Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Ni kweli.

Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume.

Hela zinakuja tu zenyewe.

Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox.

Angalizo:
Nyie wanaume mnaomiliki wanawake feminine alafu hamuwa-hudumii, msije kulia siku za usoni.

HAPPY NEW YEAR 2025
 
Wana bodi ni kwamba hamjauona huu uzi au unapita kimya kimya?
 
2025 hatuna mipango na malaya. Fanyeni kazi mpate pesa halali mbwa nyie
 
Yaani mnawafundisha waolewe na matajiri?kwani sisi tusio na pesa hatustahili kuoa?
 
Back
Top Bottom