Mwanamke first born. Nilisoma hapa habari zake. Kongole

Mwanamke first born. Nilisoma hapa habari zake. Kongole

Mpigamimba

Senior Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
198
Reaction score
237
Mwenza wangu ni first born .

Hana upuuzi wa ki DSM kihoma Arusha au mwanza.

Anajali familia, ananijali na analea watoto wake. She is genius. Oeni watoto wa kike first born. Hawana ungese.....

Na mafanikio niliyonayo she is infront. Ndio njia yangu, goal, intelligent, brilliant na hajawahi kumengwa
 
Back
Top Bottom