Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

Mwanamke ni reflection ya mwanaume. Kama mwanamke ni masikini na fukara maana yake mume wake pia ana hizo sifa mbili
Ndiyo maana Kuna usemi usemao "nyuma ya mafanikio ya mwanaume Kuna mwanamke". Hata uwe mchakatikaji kiasi gani kama mkeo ni kausha damu hutoboi".
 
Kataa ndoa ndiyo neno lenye afya....
 

Attachments

  • 7oreq4 (1).jpg
    40.1 KB · Views: 6
Mkuu mm nakubaliana na ww lakin sio kwa asilimia 100.

Kuna familia unakuta mwanamke yupo vizuri kabisa financially lakin hayo yote uliyoyataja anayafanya.
Huyo Huwa akiolewa wazazi wao Huwa wanacheza kwa furaha. Maana umepunguza hasara/ liability ya familia
 
Basi utaolewa wewe ili ( Upate utajiri) ujengewe nyumba, ulishwe , Uvishwe maana unawaonea wivu.

Majukumu ya mke na mume yameainishwa hadi katika vitabu vya mungu.
kwa huyo mungu wako uliyemuandika hapo sawa. Ila kwa huyu Mungu wangu haipo hivyo,
 
Awe masikini au tajiri

Mbususu tamu nyie
 
NAKAZIA
 
Unajua maana ya kuwa mwanamume? Sio mtoto wa kiume nazungumzia mwanamume!
Unajua maana ya mwanamume?
 
Wanaume tukishapata utelezi,hatujali Kuna nn upstairs,hata awe mbumbumbu wa mwisho lakini ana kitu mnato na anatoa Kwa wakati baasi anifilisi tu.Mfano mzuri the late tajiri Mengi.
Jamaa analolisema ni sahihi lakin kwa upande mwingine wanaume tulivyo ni ngumu kuwaepuka Wanawake wa hvyo

Hii iliwah nitokea niko na mchepuko uko full yaan umekamilika haswa na ananipenda sana,sasa kuna kipindi hali yake ya kiuchumi haikuwa poa ikabid mzigo niubebe mimi, baadae nilichoka nikataman nimwache,alinibembeleza sana akasema atapambana tu na Mambo yatakuwa sawa na ananipenda mimi hata nisipompa kitu,tukaendelea lakin nikaona kama hapana naumia kuhudumia familia na mchepuko kwa asilimia kubwa, baadae mchepuko alivyoona kama namchenga sana akapunguza kunitafuta siku moja nikakutana nae akanikaushia,aisee niliumia nikajikuta nimempenda upya na umasikin wake,sahv nipo najipanga nimpe mtaji tu apambane na maisha nipunguze mzigo ila nimejikuta siwez kumuacha
 
Shida kubwa ya watu maskini ni ROHO MBAYA.
 
Mke
Wangu alikuwa ni fukara lakini kwenye kila nilichonacho naweza kusema baada ya mungu ni yeye so usikariri bro.

Kuna wenzio walioa hao unaowaita wenye uwezo wasioweza hata kujifulia wasiojua kula hata kupika ugali
Mimi na mke wangu tulikutana baada ya kuachana na mtoto tena alikuwa mtoto wa diwani fulani kipindi hicho reason ya kuachana ilikuwa sabab ni bibie kupenda mambo makubwa yeye kutumia 70k kwa siku ni kitu cha kawaida.

Nikahamia kwa muuuza bites wang, tukauza bites mpaka kufanya kazi ya bolt na chuo tukamaliza pamoja.

Naweza kudiriki kusema kuwa kila nilicho nacho leo basi sababu ya kukipata na kuwa nacho ukimtoa mung basi mwengine ni aliyekuwa kapuku mke wangu.

So brother hizo mind set za kusema kuwa tuoe hao wenye uwezo tuache wengine utakuwa unadanganya wengi sababu kama umeoa ukishakaa na mtu ndani ya mwaka 1 ndo utaelewa thamani ya upendo na thamani ya pesa katika ndoa
 

Hao wanaume ni bahili tu
 
Na mwanaume fukara, masikini ni nini?
 
Huyo Hana analolijua!
Story za vijiweni analeta hapa,wakati kiuhalisia haiko hivyo anavyoongea
 
🤝🤝Tuna wanaume wachache sana!
Kwanza ukishaona mwanaume analalamoka,au anatafuta mwanamke mwenye uwezo ,hamna kitu hapo!
 
Mwanamke this, mwanamke that.. hamnaga content nyingine?? Kutwa mnalia lia kuhusu mwanamke, kumbe nyie sio vidume ehe?
Wanalialia si hawana Hela
Wenye Hela na wanaojua majukumu Yao huwezi ona wanalialia , kulalamika...🤣

Halafu wanasahau mwanamke fukara /masikini na mwanaume fukara/masikini ni watu wawili tofauti!
Maisha ya mwanamke yanabadirila anytime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…