Mwanamke fukara na masikini ni tabu tupu mzigo mzito sana kwa mwanaume

Hao ambao wamekua kero kwann hamuwaambii,mnakuja kuandika humu?
Ujumbe hauwafikii🀣
Waambieni jmn
 
Sa
Sasa wewe dada ndio umeamua kuwatukana wanawake wenzio namna hii?
 
Utakuwa umelogwa sio bure. Kuna upendo halafu kunakuwa manipulated hadi unageuka kama zoba au kiazi. Ndio hii sasa.
 
Uislam ni mwema sana, ulitufunza haya zaidi ya miaka 1,400 nyuma:

Mwanamke huolewa kwa sababu nne; Kwa mali yake, nasaba yake [ukoo], uzuri wake na Dini yake.

My take; Zaidi ya hayo inakuwa ni mapambo ya kujitakia mwenyewe tu.
 
Hao wanaume ni bahili tu
Ubahili kwa maana ya kwanza walikuwa hataki kuharibu pesa zao kwa kugawa hovyo kwa watu kwenye matumizi ambayo hayawahusu au sio kipaumbele chao au wabahili kwa namna gani?

Wewe binafsi hapo aje mwanaume atake uwe unampa pesa ya kuendea saloon anyoe ndevu na nywele na scrubbing, pesa za kununulia nguo zake, pesa za kutoka out na rafiki zake weekend, utaweza msapport ?

(kumbuka ajenda hapa ni ubahili kitu kibaya, usiniletee story za mwanaume hatakiwi kupewa pesa na mwanamke maana na sisi inauma kama inavyowauma ninyi kutoa, sasa kama nyie msipopewa mnaita wanaume bahiri basi na nyie ubahiri pia mnao so ngoma ndroo, usipoheshimu pesa ya mtu yeye hautamheshimu pia)
 
Uislam ni mwema sana, ulitufunza haya zaidi ya miaka 1,400 nyuma:

Mwanamke huolewa kwa sababu nne; Kwa mali yake, nasaba yake [ukoo], uzuri wake na Dini yake.

My take; Zaidi ya hayo inakuwa ni mapambo ya kujitakia mwenyewe tu.
Huwa tunawasaidia tu ila shida wanadharau na ujuaji mwingi ndio maana haya mengine yanatokea.
 
Na mwanaume fukara, masikini ni nini?
We umeona wapi mwanaume fukara akapata mwanamke wa kueleweka miaka hii?

Hili ndilo tatizo kubwa la wanawake wa sasa, kila kitu huwa mnawianisha kuangalia kama kwa mwanaume ni hivi kwa mwanamke inakuwaje.

Sasa hapo umeshindwa hata kuangalia hapo mtaani wanaume mafukara huwa wanakuwa na wanawake wa kueleweka miaka hii?
 
Mwanamke this, mwanamke that.. hamnaga content nyingine?? Kutwa mnalia lia kuhusu mwanamke, kumbe nyie sio vidume ehe?
Alie kuambia ukidume ni kujizolea kila mwanamke nani.......?

Men we have standards
 
Huu ni Uzi wa kipumbavu kuwahi kutokea , unaombaje msaada kwa mwanamke. Mambo ya usawa na gender ni mpango wa mashoga, wanawake kuwa bize na kazi badala ya kufanya malezi ni mpango wa mashoga kuendeleza kuua maadili mema
 
Wanalialia si hawana Hela
Wenye Hela na wanaojua majukumu Yao huwezi ona wanalialia , kulalamika...[emoji1787]

Halafu wanasahau mwanamke fukara /masikini na mwanaume fukara/masikini ni watu wawili tofauti!
Maisha ya mwanamke yanabadirila anytime

lione hili kausha damu
 
Ndugu wapo
Sema sio wengi km zamani!
Shida unamkubali km alivyo mkiinuka tu kidogo anakuona huna maana,hili nalo linachangia wanawake baadhi kuamua kuangalia pesa!

Lkn wapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…