DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimekuwa nikifatilia Sana maswala ya mahusiano Kwa nyakati tofauti .
Leo napenda kugusia hili eneo ambalo watu wengi hawalifahamu kuhusu 'KUTEGEMEA'
Binadamu wote kimaisha wanategmeana aliyenacho na asyekuwa nacho.
Ila linapokuja swala la MAISHA ya mahusiano kifamilia , basi mwanaume anamtegemea mwanamke.
Katika universe (ulimwengu) mwanamke sifa yake huwa ni earth au ardhi.
Mwanamke ni ardhi :- na sifa za ardhi ni kubeba kila aina ya uchafu na kila aina ya usafi ardhi inabeba, Mikojo , umo -umo mbolea na umo umo mazao .
Hivyo viwango vya uvumilivu vipo zaidi Kwa mwanamke na sio mwanaume.
Mwanaume huwa anaoa Ila atakayebeba jukumu la kuendesha ndoa huwa ni 'MWANAMKE'
Je , zipi sababu ambazo hupelekea wanaume kufa mara tu wake zao wakitangulia !?.
Jibu litakuja kuwa mwanamke ni ardhi na ardhi huwa inabeba , mwanamke kimaahusiano huwa anambeba mwanaume.
Hivyo mwanamke yoyote akianzisha harakati za kulikataa jukumu lake na kuamini kuwa hana uwezo wa kuendesha maisha yake hadi apewe support na mwanaume 100% basi hapo ndo utasikia mwanamke analalamika au kujisifu kuwa anatunza familia , jambo ambalo sio sahihi.
Najua kuna watu waliwapoteza wazee wao Baba Ila mama zao waliwapambania hadi wamefanikiwa.
Kwa bahati mbaya Sana Dada zetu wa Leo wamekuwa dhaifu Sana mpaka kupelekea mtoto mmoja analelewa na baba zaidi ya watatu that is hell.
Kuelekea 2025 ni muhimu wanawake wakajua kuwa wamepewa hazina kubwa Sana kwahiyo ni kuitumia tu vizuri.
Happy new year in Advance