Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

Thamani maana yake ni nini? Nini maana ya thamani ya mtu?
Tushakuzoea mzee wa maswali, hata kukiwa na post ya kujamba utauliza maana halisi ya kujamba ni nini, ukijibiwa kutoa hewa chafu unaanza tena uliza maana halisi ya hewa chafu ni nini πŸ˜‚πŸ˜‚ hii tabia sijui huwa inakufaidisha nn
 
Kwa hiyo utamke talaka, talaka, talaka mwanamke aende kwao.......hujawajua wanawake wewe, unaweza kujikuta wewe ndo umechapa lapa yeye akaendelea kujivinjari na watoto wake.
 
Hebu subiri kidogo nieleweshe hapo kwenye kutamka kwahiyo ninatakiwa nitamke talaka mara tatu na mchezo umekwisha au nafanya kama kunuia?
 
Kwa hiyo utamke talaka, talaka, talaka mwanamke aende kwao.......hujawajua wanawake wewe, unaweza kujikuta wewe ndo umechapa lapa yeye akaendelea kujivinjari na watoto wake.
Huyo atakuwa na kiburi na hana adabu, anakuwa kinyume na maandiko matakatifu katika uislam
 
Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko uKuu wa dunia. Mwanamke ndie anaeibeba dunia, ndie anaeibeba dini.
Kama ujui thamani ya mke akuachie watoto uhangaike nao kama utaweza, kesho tu utaomba msamaha arejee. Tuna mapungufu wote, wapo wanaume wapumbavu pia wanawake wapumbavu wako. Wapo wanaume feki pia wanawake feki. Muombe Mola akupe mke mwema utakuwa juu ya dunia, ukimpata mpumbavu utakuwa Mwalimu wa falsafa ya mapenzi kwa wenzio utapata pesa kama mshauri ndoa.
 
Hebu subiri kidogo nieleweshe hapo kwenye kutamka kwahiyo ninatakiwa nitamke talaka mara tatu na mchezo umekwisha au nafanya kama kunuia?
Yani wewe ni kutamka tu TALAKA TALAKA TALAKA..... mchezo umeisha hapo
 
Wewe haujaachika bado?
Aaah...!
Kwani we ni mwanamke mpumbavu wa kwenye biblia πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€βœοΈβœοΈ joke's
 
Aaah...!
Kwani we ni mwanamke mpumbavu wa kwenye biblia πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€βœοΈβœοΈ joke's
Mimi ni Said Kiroba nauliza nijue kama jimbo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…