Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wiki? We unacheza wewe....Uyo kajitahidi, wenzio ata week hatumalizi.
EKSOZI ANAKUPA???Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Wewe kama unaogopa mkia wanyani kwanini uende kishiriki kwenye ngoma za nyani, lazima utakugusa tu.Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Umwiseke ana aghasabherooMwanamke ndo hajapata mume, uko naye miezi 6 akikuomba vitu vidoogo hivyo unasema mizinga! Ghaaii omwiseki aghotuna ghotetwa no omosacha atana bhoweso bhamure KERATO MOMBAA au ni ubahili