😅Sasa husiano gani hilo bila kuombana pesa? 😏
😅Sasa husiano gani hilo bila kuombana pesa? 😏
nenda pale kikosi cha mizinga morogoro wa kufundishe jinsi ya kujua mzinga unakujajeWajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Sasa ukikimbia kila mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kutongoza, kuna uwezekano wa asilimia 90 kuwa hutokuja kuoa, maana karibia wadada wote wako hivyo 😂😂 excel Melancholic
Kimbia kimbia wanawake omba ombaSasa ukikimbia kila mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kutongoza, kuna uwezekano wa asilimia 90 kuwa hutokuja kuoa, maana karibia wadada wote wako hivyo 😂😂 excel Melancholic
Miezi sita mbona mingi sana, tunapigwa mizinga moment tumekutana kwa mara ya kwanza yahani kitendo tu cha kumsomesha kwao ni fulsa ya maokotoWajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Alikwambia nani umuambie wewe ni Tajiri wa kusini !?Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Uko sahihiPole Ndugu Yangu Lakini Nataka Kukwambia Yakwamba ,
Moja:
Mapenzi si biashara. Kama mtu anakupenda kwa dhati, hata kama huna kitu, atajitahidi, atajali, na hataomba kila siku kama ni kawaida. Uwe makini usije ukatumiwa.
Mbili:
Usiwe na huruma kupita kiasi hadi ujiumize. Kama wewe huna amani, huwezi kumpa mtu mwingine furaha ya kweli.
Tatu:
Anaonyesha juhudi au ni tegemezi kabisa?
Je, anajitahidi kutafuta chake mwenyewe au kila jambo anakutegemea wewe? Mapenzi ya watu wazima yanahitaji ushirikiano si utegemezi wa upande mmoja.
Nakushauri uachane nae ,hata mimi kuna mtu niliamua kumuacha yaani kila siku alikuwa hakomi kuniomba pesa.