Mwanamke hata miezi sita hatujafika na ashaanza kunipiga vizinga

nenda pale kikosi cha mizinga morogoro wa kufundishe jinsi ya kujua mzinga unakujaje
 
Miezi sita tu mkubwa unatema nyongoπŸ˜‚ kuna vimeo hivo ukikutana navyo mchana tu basi usiku vibomu lazima.
 
WANAUME 3:1
"Hakuna kuhudumia kitu usichokitumia"

WANAUME 4:6
"Mwanamke aambiwi sikutaki..anapotezewa tu,kuna siku utakwama atakusev"
 
Sasa ukikimbia kila mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kutongoza, kuna uwezekano wa asilimia 90 kuwa hutokuja kuoa, maana karibia wadada wote wako hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚ excel Melancholic
Kimbia kimbia wanawake omba omba

mwanamke mwepesi kuomba Hela hatoona aibu kukuacha siku ukifulia
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
huyu nilimchomesha mahindi aone raha ya kuomba omba hela watu asiowajua

 
Pole Ndugu Yangu Lakini Nataka Kukwambia Yakwamba ,
Moja:
Mapenzi si biashara. Kama mtu anakupenda kwa dhati, hata kama huna kitu, atajitahidi, atajali, na hataomba kila siku kama ni kawaida. Uwe makini usije ukatumiwa.
Mbili:
Usiwe na huruma kupita kiasi hadi ujiumize. Kama wewe huna amani, huwezi kumpa mtu mwingine furaha ya kweli.

Tatu:
Anaonyesha juhudi au ni tegemezi kabisa?

Je, anajitahidi kutafuta chake mwenyewe au kila jambo anakutegemea wewe? Mapenzi ya watu wazima yanahitaji ushirikiano si utegemezi wa upande mmoja.


Nakushauri uachane nae ,hata mimi kuna mtu niliamua kumuacha yaani kila siku alikuwa hakomi kuniomba pesa.
 
Miezi sita mbona mingi sana, tunapigwa mizinga moment tumekutana kwa mara ya kwanza yahani kitendo tu cha kumsomesha kwao ni fulsa ya maokoto
 
Alikwambia nani umuambie wewe ni Tajiri wa kusini !?
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…