Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hata Mahondaw huwa anakufanyia haya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mahondaw huwa anakufanyia haya ?
aiseeDuuh yaani SMH (Shaking My Head) ndiyo mfyonzo? Ficha ushamba wako basi kwani kama haukuelewa si ungeuliza tu mkuu?
sawasawaNaona umeishiwa hoja sasa unabaki kucheka tu, usijali cheka mwaya kufa kwaja utacheka wapi tena labda kama ukifa utaenda mbinguni huko ndiyo utaendelea kucheka.
Ndiyo, Mungu alipomruhusu shetani kuja duniani alijua kabisa yote yatakayokuja kutokea maana yeye ndiyo anaujua mwanzo na anaujua mwisho na alikuwa na au ana uwezo wa kuzuia yote haya ila aliruhusu yote yatokee kwa sababu alitaka kuthibitisha ni kina nani wanampenda kweli kutoka moyoni ni maelezo marefu kukuelewesha hadi uelewe ila nimeona nikuelezee kwa kifupi tu.
Ndiyo nilichogundua ni kwamba wanaume wengi mnataka dunia ambayo wanawake wote watakuwa wapole na wanaume wote mtakuwa wahuni yaani huwa mnajisikia raha na fahari fulani hivi pale mnapowakosea wanawake halafu wanawasamehe tu bila kuwafanya chochote eti mnafikia hatua ya kulazimisha na kudanganya kabisa kwamba mwanamke aliumbwa kuwa mpole na mwanaume aliumbwa kuwa mhuni
Women always are dynamicKuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"
Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,
Ndo nikagundua haya👇👇
👉Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.
👉Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.
👉Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.
👉Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.
👉Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.
👉Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs. Volume iko Sawa huko,,,,??
Baaaaaaby ......Eish
Vipi unakuja na hoja au nikusubiri uendelee kuniita hayo majina yako kwanza?Marrianah = Jeshi la Mtu mmoja, naona unakusanya kijiji kizima pekeyako eeeh...[emoji119] [emoji16]
aisee
Hoja zimemuisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi unakuja na hoja au nikusubiri uendelee kuniita hayo majina yako kwanza?
Basi ukianza kuleta hoja na ukimaliza kuniita hayo majina yako utanishitua nipo!
Hivi Lizarazu unadhani unamdanganya nani unavyopinga hivyo? Mimi nimeshasema siwezi kuamini maneno yako wewe mwanaume mmoja ya kupinga hayo ninayoyaongea wakati mimi mwenyewe nimeshayashuhudia kwa macho yangu kwenye mahusiano mengi kutoka kwa wanaume wengi I always speak from experience and not assumptions!Nilivyokwambia unielimishe nikajua utanipa knowledge muhimu ambayo nilikuwa sijui kabisa, kumbe unakuja kuniandikia uongo uliojaa pumba tupu
Hebu soma tena hiyo paragraph yako ya pili kisha ujitafakari kama ulichokiandika kina maana halafu baada ya hapo ujutie muda wako uliopoteza kuandika hii comment.
Wanaume ni malaika siyo??WANAWAKE NI MASHETANI
Hoja zimemuisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baaaaaabby ......
Sasa kama hujapanic ni kitu gani kinakutoa povu mamii😁😁😁Hawa nimeshawazoea wakishaona wameishiwa hoja wanaanza oh tuna stress, mara ni single mothers, malaya na makahaba tumeachwa ati feminists sijui super women mimi nimeshasema waite majina yote ila hawataweza kuubadilisha ukweli huwa nawaona kama wanajifurahisha tu
Ndiyo maana mimi sijawahi kupanic kuitwa hayo majina maana najijua siko hivyo sasa nihangaike kupanic na kujitetea kwao ili iweje? Jambo la ukweli siku zote ndiyo linalouma ila siyo la kusingiziwa hasa kama unasingiziwa kwa watu ambao hawakujui hata unafananaje achilia mbali tabia!
Sasa kama hujapanic ni kitu gani kinakutoa povu mamii[emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiona hivyo ujue point zimeisha[emoji3][emoji3].wataanza kuku attack mwenyewe sasaHawa nimeshawazoea wakishaona wameishiwa hoja wanaanza oh tuna stress, mara ni single mothers, malaya na makahaba tumeachwa ati feminists sijui super women mimi nimeshasema waite majina yote ila hawataweza kuubadilisha ukweli huwa nawaona kama wanajifurahisha tu
Ndiyo maana mimi sijawahi kupanic kuitwa hayo majina maana najijua siko hivyo sasa nihangaike kupanic na kujitetea kwao ili iweje? Jambo la ukweli siku zote ndiyo linalouma ila siyo la kusingiziwa hasa kama unasingiziwa kwa watu ambao hawakujui hata unafananaje achilia mbali tabia!
Mwingine huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale yale
Na mama yako naye yumo humo kundini..maana nae Ni mwanamkeWANAWAKE NI MASHETANI
Nawasubiri kwa hamu yaaniUkiona hivyo ujue point zimeisha[emoji3][emoji3].wataanza kuku attack mwenyewe sasa