Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
- Thread starter
- #241
Kuhudumia ni ile mpaka kodi ya nyumba unalipa,simu mpya ni wew,gesi ikiisha ni wew,mama yake akiumwa ni wew,Mim natoa buku ten tu nakula mzigo tena kwa mwez Mara 3.Ukimpa hera sindo kumhudumia au mm nmeelewa vibya wenzangu[emoji23][emoji23]