Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Ukimpa hera sindo kumhudumia au mm nmeelewa vibya wenzangu[emoji23][emoji23]
Kuhudumia ni ile mpaka kodi ya nyumba unalipa,simu mpya ni wew,gesi ikiisha ni wew,mama yake akiumwa ni wew,Mim natoa buku ten tu nakula mzigo tena kwa mwez Mara 3.
 
Mkuu hakuna mwanamke hapa duniani asiyetaka ndoa.

Mwaka 2015 Nilikuwa Norway. Hakuna tofauti kubwa baina ya Wanawake wa Norway na Maeneo mengine Duniani.

Labda kama wewe hujatembea zaidi ya kuona kwenye luninga. Hakuna Nchi isiyo na uchawi sema uchawi unatofautiana Namna ya unavyofanywa.

Pia wanawake unaowasema wa nchi zilizoendelea pia wanambinu zao za kutafuta wanaume wakuwaoa. Pia wao hupigana kwa ajili ya ndoa.

Unaongea mambo usiyoyajua. Kama hujatembea hata kuingia mitandaoni au kusikiliza habari pia unashindwa.

Ati nchi zilizoendelea hakuna Wanawake wanaoenda kwa Waganga. Ni bora ungekaa kimya
Nashukuru sana kunisaidia kumueleza ukweli huyo Mama.
 
Usitupangie matumizi ya pesa zetu sisi wenye nazo, kama ni umasikini ni wa kwako na familia yako, acha tutumbue hela zetu , ohoo ngoja nipokee sim ya shemeji yako nilimuagiza gari, ntarudi baadae
acha uboya mkuu utachunwa mwisho wa siku unakumbuka shuka wakati kuna kucha
 
Kuhudumia ni ile mpaka kodi ya nyumba unalipa,simu mpya ni wew,gesi ikiisha ni wew,mama yake akiumwa ni wew,Mim natoa buku ten tu nakula mzigo tena kwa mwez Mara 3.
Sehemu nyingine huku kwetu hata kwa buku tunawatafuna
 
Ni matajiri wangapi wanahudumia vizur lakin wanawake zao wanachepuka? Wamekosa pesa? Wamekosa matunzo? No
Hawatabiriki hawa. Unaweza ukawapa BOT.. akaja kuliwa na dereva toyo
Mbona kuna mipapa mikubwa nchini tu ina pesa ndefu lakini inapata tabu kwenye mapenzi
 
Dunia ingekuwa mahala salama sana pakuishi.
Sasa inawezekanaje? Kama Mungu aliyetuumba karuhusu iwe hivi wewe binadamu ni nani unayepinga iwe tofauti?

Halafu na kwanini unataka wanawake tu ndiyo wawe decent? Kwani na wanaume wakiwa decent dunia haitakuwa sehemu salama kuishi?
 
Hahahaha sasa na mimi unavyoniita malaya kwani umepiga mzigo kwangu? Kumbe unajua haujapiga sasa kinachokufanya uropoke usichokijua ni nini?
Niite tuu kwani si nimepiga mzigo kwako My dear.

Humu wanasema Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeishiwa hoja sasa unabaki kucheka tu, usijali cheka mwaya kufa kwaja utacheka wapi tena labda kama ukifa utaenda mbinguni huko ndiyo utaendelea kucheka.
 
Naona umeishiwa hoja sasa unabaki kucheka tu, usijali cheka mwaya kufa kwaja utacheka wapi tena labda kama ukifa utaenda mbinguni huko ndiyo utaendelea kucheka.
njoo ulale bhn,achana nao.
 
Mapenzi matamu ni yale ya kusaidianaaaa majukumu.....


Kubeba mishkaki Kwa bodaboda haiepukiki..........🙆🙆🙆🙆
 
Back
Top Bottom