Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Yaani una stress sana masikini pole

Ni kweli ninastress za kuona Nzi wakizidi kula mizoga ilhali nyama safi zipo.

Hivi mzoga ukiwa karibu na nyumba yako unatoa harufu utaacha kuwa na stress kweli??
 
Hebu ninukuu sehemu niliyosema kuwa wanawake wasio mabikira wana tabia nzuri na waendelee na tabia yao halafu unionyeshe hapa nimegundua unalazimisha vitu ambavyo sijaviongea ili upate cha kujibu

Na hakuna sehemu nimekataa kuwa ndoa ni mbaya na haifai ila nimesema jamii za kiafrika zinamtaka mwanamke asiachike hata kama ndoa yake ina matatizo na hata kama mume wake anamsaliti au anampiga kila siku ashikilie tu hapo hapo asiondoke

Sasa huo ni unafiki kama kweli wangetaka ndoa zidumu basi wangewaambia na wanaume pia wavumilie madhaifu ya wake zao sasa wewe uliona wapi huo ujinga kwa wazungu halafu ni wazungu gani hao unaosema wanaheshimu sana ndoa?

Na ni wapi huko unakosema wanawake wa huko wanajua thamani ya bikira na hawafanyi umalaya? Unatolea mfano Roma kwanini wanamheshimu Bikira Maria? Kwa swali kama hilo inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu usiyetaka kujua mambo kiuhalisia unalazimisha yawe kama unavyoamini wewe yaani unajaribu kuubadilisha ukweli? Pole utapata taabu sana
Alafu mtu akikuambia akili yako haina bikra unasema umetukanwa.

Hivi kwa akili yako ndoa ni suala la mtu binafsi au suala la jamii nzima.

Hivi hujui ndoa ni sehemu ya utamaduni wa jamii zote duniani?

Huenda wewe hujui. Hivi unajua Nchi zilizoendelea ndizo wanathamini ndoa kuliko huku Afrika. Pengine hujui.

Hivi kwa akili yako ilivyondogo. Unadhani Nchi za ulaya hazijui thamani ya bikra unafikiri wanafanya umalaya kama huku Afrika.

Kama hujui heshima ya bikra. Nenda roma alafu waulize hivi kwa nini mnamheshimu Bikra Maria?

Huenda hujui nini maana ya bikra. Kamuulize Mchungaji wako kanisani maana na umuhimu wa bikra huenda wazazi wako wenyewe hawakujua maana yake.

Au muombe Mungu akufunulie umuhimu wa Bikra kwa mwanamke na ndoa kwa ujumla.

Sio utoe mifano kwa mizoga iliyokwisha oza ukidhani hapa kuna nzi.

Nzi ndio hula mizoga. Mimi sio nzi na kamwe siwezi kuwa nzi kula mizoga na uchafu.
 
Hilo swali nilitakiwa nikuulize wewe kuwa umeridhika baada ya kuniita mimi kahaba maana naona ulikuwa unajifurahisha tu

Tena mimi ndiyo nilitakiwa nikuite wewe malaya maana hapo ulipo haujaoa ila kazi kuchovya kwa wanawake uchafu tu
Nisamehe ewe mwanamke uliyefanya ukahaba kabla ya ndoa.

Umeridhika??
 
Mizoga? Unamaanisha wote wanawake na wanaume waliofanya ngono kabla ya ndoa ni mizoga siyo?
Ni kweli ninastress za kuona Nzi wakizidi kula mizoga ilhali nyama safi zipo.

Hivi mzoga ukiwa karibu na nyumba yako unatoa harufu utaacha kuwa na stress kweli??
 
kwa mwanaume wa karne hii kuwa na pesa ni kila kitu na hata nguvu za kiume zinakuja maana hutakuwa na stress utakula vizuri na hata zikipungua utanunua dukani na unajitibu, pia pesa itakusaidia kuwaweka karibu yako ili uongeze ujuzi wa kuwagonga ili waendelee kuja ila usitegemee kupendwa...all we need is money and dick

The wise man spoken!

asante sana
 
Lizarazu acha uongo mbona kuna wanawake wengi wanapenda wanaume masikini wasio na mbele wala nyuma hadi hao wanaume wenyewe tu wanajiuliza wamependewa nini achilia mbali watu wa pembeni nao kujiuliza huyo mwanamke kapenda nini pale?

Ni wengi sana na kama wewe haujawahi kukutana nao siyo sababu ya kutokuamini kama wapo siyo kila kitu ni hadi ukione ndiyo uamini vingine tunaamini kwa kuambiwa tu na ukisema wewe vitu vya kuambiwa hauviamini basi ina maana hata Mungu hauamini kama yupo maana haujawahi kumuona

Nimekuelewa vizuri sana hiyo paragraph yako ya pili.

Hiyo paragraph ya kwanza wanawake wa hivyo waliishia enzi za utawala wa Mwinyi.
 
Tunachotaka ni muache kutupa lawama kwa wanawake tu wakati mnajua kabisa kuwa hata wanaume nao wana maovu yao

Sijajua ni kwanini huwa unanitolea hii kauli kila siku.

Lini nimewahi kusema wanaume hawana maovu?
 
Hilo swali nilitakiwa nikuulize wewe kuwa umeridhika baada ya kuniita mimi kahaba maana naona ulikuwa unajifurahisha tu

Tena mimi ndiyo nilitakiwa nikuite wewe malaya maana hapo ulipo haujaoa ila kazi kuchovya kwa wanawake uchafu tu

Niite tuu kwani si nimepiga mzigo kwako My dear.

Humu wanasema Waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.
 
Hebu ninukuu sehemu niliyosema kuwa wanawake wasio mabikira wana tabia nzuri na waendelee na tabia yao halafu unionyeshe hapa nimegundua unalazimisha vitu ambavyo sijaviongea ili upate cha kujibu

Na hakuna sehemu nimekataa kuwa ndoa ni mbaya na haifai ila nimesema jamii za kiafrika zinamtaka mwanamke asiachike hata kama ndoa yake ina matatizo na hata kama mume wake anamsaliti au anampiga kila siku ashikilie tu hapo hapo asiondoke

Sasa huo ni unafiki kama kweli wangetaka ndoa zidumu basi wangewaambia na wanaume pia wavumilie madhaifu ya wake zao sasa wewe uliona wapi huo ujinga kwa wazungu halafu ni wazungu gani hao unaosema wanaheshimu sana ndoa?

Na ni wapi huko unakosema wanawake wa huko wanajua thamani ya bikira na hawafanyi umalaya? Unatolea mfano Roma kwanini wanamheshimu Bikira Maria? Kwa swali kama hilo inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu usiyetaka kujua mambo kiuhalisia unalazimisha yawe kama unavyoamini wewe yaani unajaribu kuubadilisha ukweli? Pole utapata taabu sana

Mkuu naona umepaniki kichizi.

Pole mpenzi. Ukiachana na mimi Jipange! Jipange.

Bado nakupenda. Nimeona nisikubembelezee PM.
 
Sasa mbona hapo umewaongelea wanaume badala ya wanawake? Kwani ni wanawake wangapi wanaachwa kila siku na bado wanaendelea kuwa na wanaume na wanawapa mapenzi yote na ni wanaume wangapi wakishaumizwa mara moja basi wanawake wote atakaowatongoza baada ya hapo wakamkubali wanakoma? Au hayo mambo tukiyafanya wanawake ni kosa ila mkiyafanya wanaume ni sawa? SMH!
aise hatari hadi mfyonzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kumbe chanzo cha hayo yote ni wanaume na siyo wanawake? Wewe mwanaume kwanini ufikirie kuomba papuchi eti kisa tu mwanamke kashindwa kulipa deni lako hivi na wanaume wenzenu wakishindwa kulipa madeni yenu huwa mnawafanya nini?

Na kuhusu mwanamke kutoa papuchi akisaidiwa hiyo mentality mliitengeneza ninyi wenyewe wanaume imagine mwanamke anakuomba msaada unamuuliza na "mimi utanisaidiaje" eti lazima tusaidiane kwahiyo na wanawake nao wanaume kumbe wanaume hadi wakusaidie ni hadi uwape papuchi sasa ikitokea akajitokeza mwanaume msamaria mwema akatoa msaada tena mkubwa lazima mwanamke ajihami kuuliza kama anataka papuchi maana anajua kuwa ndiyo kauli mbiu yenu wanaume sasa hadi hapo napo mnatulaumu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"

Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,

Ndo nikagundua haya👇👇

👉Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.

👉Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.

👉Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.

👉Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.

👉Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.

👉Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs.

Volume iko Sawa huko,,,,??
Mama mi sipendi panda milima kitonga, mama mi napenda shuka mlima kitonga , ki ki ki ...... Kitongaaa
 
Baharia mwenyewe ni Mimi niliyegundua na kuthibitisha huo msemo "ukiona unaanza kuwaelewa wanawake ujue umekaribia kufa"
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"

Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,

Ndo nikagundua haya[emoji116][emoji116]

[emoji117]Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.

[emoji117]Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.

[emoji117]Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.

[emoji117]Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.

[emoji117]Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.

[emoji117]Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs.

Volume iko Sawa huko,,,,??
 
Upungufu au uhaba wa kitu ndio unaochangia thamani ya hiko kitu.
Hela zikiwa nyingi bila mapenzi, mapenzi yatakuwa na thamani kuliko hela.
Mapenzi tele bila kuthaminiwa, kuthaminiwa kunakuwa na thamani kuliko mapenzi
you name it.

kimoja kikipungua kinapunguza thamani ya kilichopo.
na kutengeneza uhitaji wa kilichopungua.
Kilichopungua kisipopatikana ndani, kitatafutwa nje

Mapenzi yanahitaji kiasi/balancing ya kila kitu.
 
Back
Top Bottom